WANANCHI wa kijiji cha Ivuna Wilayani Momba Mkoani Songwe, wamefufua kiwanda cha uzalishaji wa chumvi katika eneo la Bwawa la Maji chumvi kilichokuwa kimesitisha shughuli zake za uzalishaji...
Poleni na majukumu ya sku kwa ujumla.wanajf mm nilikua naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu kidogo.
Iko hivi mimi nina rafiki yangu yuko US sasa kuna package anataka kuituma Tanzania sasa...
Habari wakuu!
Kwa nini Bara la Afrika ni Masikini? Umasikini wa Afrika unasababu nyingi sana. Zipo sababu zenye mizizi ya Kihistoria hapa ndipo suala la biashara ya utumwa na ukoloni...
Kupitia ukurasa wao wa Instagram, kituo cha radio cha Clouds Fm wamethibitisha kutomleta Msanii kutoka nje na hivyo kutoa fursa kwa Wasanii wa ndani kufanya yao siku hiyo katika viwanja vya...
Habari zenu bandugu.,. Naomba kuuliza, kwa mtu anae taka kupata kibali cha kununua bidhaa zitokanazo na maliasili ( WILDLIFE PRODUCTS ) anatakiwa kwenda wapi? Na je ni wildlife...
Kuna jamaa yangu alishilikiwa huko Comoro alikuwa anapeleka ngada, tulikuwa tunachat naye whatsapp na facebook na picha anapiga anatutumia maisha ya huko Jela Anasema wanaruhusiwa Ila sio kila...
Mwanaume mmoja mkazi wa Manzese jijini amefariki dunia wakati akifanya mapenzi maeneo ya Tandale kwa malaya wanapojiuza. Mwanaume huyo ni Dereva wa taxi. Polisi walifika na kufanya upekuzi...
Naangalia hapa channel ten kipindi cha Makwaiya wa Kuhenga Mada: Miaka miwili ya uongozi wa Rais Magufuli. Daaa,, namwona Makwaiya anapata tabu sana wachangiaji mada wanavyotoka kwenye yale...
Ngara. Mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Kihinga, wilayani hapa mkoani Kagera, Domina Wabandi (10) amesema wakati wakiingia darasani, mwenzao Juliana Tarasisu (13) aliyefariki...
Katavi . Aliyekuwa akiita Ripota wa STAR TV wa Mkoa wa Katavi na mtoto wa Kamanda Selemani Kova anaejulikana kwa jina la Gerald Kova Mkazi wa Mkoa wa Mwanza amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja...
Kufuatia tukio la msanii Elizabeth Michael,kufungwa jela miaka miwili,kampuni ya Uhai productions inayoratibu mradi wa sinema zetu,inapaswa kuchukua hatua ya kufuta mkataba wa ubalozi na kumkana...
Jambo hili linawwza kuagizwa na hela itatoka wapi na katika bajeti gani wanajua wao.
Dodoma mjiandae kupokea ugeni huu mkubwa na wa ghafa wakati wowote endapo utabiri huu utatima.
Tunatekeleza...
Habari wana JF,
Niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Kuna taarifa za ajabu na kusikitisha kuwahusu vijana wetu waliomba na kuchaguliwa kusoma kozi ya CERTIFICATE IN SOCIAL WORK.
Wanafunzi...
Majaji au wanasheria wanatia kinyaa sioni umuhimu wao inakuaje kesi inachukua miaka 6 na ni ya mauaji au hata miaka 10, kuna nini wanafanya kila siku washindwe kupata suluhu au uchunguzi gani...
Ndio ni ushamba na ulimbukeni usio na mfano.
Umeshaona muarabu akiongea na waarabu wenzie halafu akachanganyia maneno ya kingereza? Nenda Ujerumani au Ufaransa uongee kingereza uone...
Mbunge wa zamani wa Bagamoyo, Mzee Adrian Mpande amefariki nchini India akipatiwa matibabu
Chanzo Familia ni yule aliyepigwa Risasi na Mkwewe nje ya kanisa la Ubungo Kibangu.
RIP Mzee Adrian...