Vyuma vimekaza; Clouds wakiri hawatomleta Msanii kutoka nje kwenye show ya Fiesta Dar!

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,701
45,041
Kupitia ukurasa wao wa Instagram, kituo cha radio cha Clouds Fm wamethibitisha kutomleta Msanii kutoka nje na hivyo kutoa fursa kwa Wasanii wa ndani kufanya yao siku hiyo katika viwanja vya Leaders Club.

Ikumbukwe tamasha la Fiesta likifanyika Dar, ni lazma awepo msanii kutoka nje ya Tanzania, na wasanii ambao wamewahi kuja ni kama Rick Ross, T.I na wengineo!
48633ee61a29d7c76e13b71296311715.jpg


Je nini maoni yako?
 
Sasa hapo kuna uhusiano na vyuma kukaza? Kutomleta msanii nje kwa hiari ni dalili ya vyuma kukaza? where is the logic
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom