Poleni na majukumu ya sku kwa ujumla.wanajf mm nilikua naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu kidogo.
Iko hivi mimi nina rafiki yangu yuko US sasa kuna package anataka kuituma Tanzania sasa kaniambia ni muambe address kwa nani mwenzenu sina idea na hayo mambo maana sijawahi kutumiwa package yoyote naomba anaefahammu anielekeze procedure na cost zinakuaje kupokea package kutoka nje.
Naomba kuwasilishaa.