Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Siku moja baada ya Jeshi la Polisi kumwachia kwa dhamana, Dk. Luois Shika ambaye alikuwa ameshikiliwa kwa siku sita kwa madai ya kuharibu mnada wa nyumba za Said Lugumi, familia ya daktari huyo...
3 Reactions
46 Replies
14K Views
Jana 16/11/2017 Kaimu Katibu Mkuu Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania, Wilfred. Kidau alifanya mkutano na waandishi wa habari kukanusha Madudu niliyoyaibua juzi 15/11/2017 ya Kamati ya...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Kuna matukio makubwa sana ya kutisha na kutingisha yaliyo kuwa ya trend na yalioibuka ndan ya majuma haya...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna hii kitu ya kushiriki ili upate zawadi ya simu aina ya I phone lakini siku ya mwisho watu wanajikuta wame upload Application fulani ya vichekesho duh
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu kuna njiwa wengi hupenda kuishi kwenye majengo marefu wengi sana na ni wazuri nimewaona maeneo tofauti kama gorofa la tanesco na hata pale daraja la kimara...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Yahya Msulwa amefariki dunia jana katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Katibu...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Tangu nijiunge na mtandao huu pendwa ni takribani miaka mitatu sasa,lakini sijawahi kuskia ama kwa kutanganzwa officially au hata story za vijiweni kwamba kuna mtu ameshinda bahati nasibu zao...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Zaidi ya nyumba miambili zimebomolewa zilizopo karibu na umeme mkubwa wa TANESCO katika eneo la Mabibo hadi bonde la Msimbazi na kuziacha familia bila ya makazi hali iiliyosababisha vitendo vya...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Nimekuwa nikiwasikia Wanaume wengi sana wakisema hii sentensi ambayo nainukuu hapa " Nimezaa Watoto wawili " na Wanaume wengi sana huwa wanaisema hii katika maeneo mbalimbali na hata katika...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
uzalendo ni kupeana deal Kwangu naona clouds hapa wamepata akili na wamejua nini wananchi tunataka na wamedadavua maana harisi ya uzalendo.. Huwezi kua mzalendo huku ukiwa umekumbatia fursa...
18 Reactions
104 Replies
11K Views
DAR: Maiti ya mtu asiyejulikana imekutwa ikiwa imefungwa kwenye mfuko kando ya ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Coco Beach....
1 Reactions
51 Replies
7K Views
Kamanda wa TAKUKURU mkoni Kilimanjaro amesema wamemkamata Dk. Deogratius Geofrey Urio kwa tuhuma za kuomba na kupokea Ruswha Dk Urio ni mwajiriwa wa ofisi ya Katibu Tawala na kituo chake cha kazi...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Jana katika taarifa ya habari ya saa mbili, uliwahoji watu kuhusu kubomolewa jengo la Tanesco Dar. Wote walipongeza kubomolewa! Ni kweli wote uliowahoji walipongeza libomolewe. Hakuna aliyetoa...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Nataka kufahamu kama tenda ya ujenzi wa barabara sita kuanzia ubungo interchange hadi mlandizi je imetangazwa kama mh Rais alivyo amuru? Naomba tufahamishwe kinacho endelea kwani hii ni fursa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkazi mmoja wa maeneo ya Ubungo Kibangu Jijini Dar mapema leo amepata ajali ya kupigwa risasi na mtu asiyejulikana wakati akiwa anaingia Kanisani Parokia ya Kibangu. Kwa bahati nzuri, risasi...
7 Reactions
100 Replies
24K Views
Jopo la madaktari bingwa wa Moyo toka nchini Saudi Arabia kwa kushirikiana na madaktari wa taasisi ya magonjwa ya moyo ya jakaya kikwete wanatarajia kuwafanya upasuaji wa moyo kwa njia ya kuzibua...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Tumezoea kuzikwepa kwamba ni redio za kizee, zinatangaza habari za upendeleo kwa serikali matokeo yake vito vya habari vya taifa kama TBC vi,ekuwa vikidharauliwa ila kwa kifupi tu kilichotokea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu muda huu nimetoka kupata chakula ili nirudi kujipumzisha,sasa kuna mchanga umeletwa kwa muda Sasa hapa nje ya home!!! Cha kushangaza ni kwamba Nimekutana mawe yanayotoa mwanga...
0 Reactions
40 Replies
11K Views
Wote twafahamu kuwa huyu mkuu ni moja ya watu wakalimu zaidi duniani (philanthropist) na kutolea huko kwa wenzetu kunawajengea heshima kubwa kwenye jamii . Lakini huyu naona kama recently...
12 Reactions
117 Replies
13K Views
Nakumbuka utawala wa Rais Mkapa utawala wa TANESCO tulikodi kutoka Afrika ya Kusini. Mashirika mengi ya umma yalikufa kwasababu management au utawala ulishindwa kufanya vizuri. Viwanda vingi...
0 Reactions
1 Replies
816 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…