Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,433
- 191,755
Aisee nipo katika mchakato wa kuandaa research yangu ya kwanza. Kwa wale wadau ambao mlishapitia na mnauzoefu wa kutosha bila kusahau madesa kadhaa ningependa mnisaidie nakala hizo ili niweze kukamilisha zoezi hili ndani ya muda.
Ikumbukwe mi si mgeni kabisa na nilishasaidia raia kadhaa kufanya research zao huko nyuma ila yangu nataka niifanye kiuhakika zaidi. Wenye madesa ya kuhusiana na mambo ya sales and marketing naomba attachment zenu tafadhali.