Hawa continental ubora safi wa picha?


toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,263
Likes
505
Points
280
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,263 505 280
Nimeenda dukani kwa ndugu yangu nikakuta anaangalia tv na anatumia kisimbusi cha continental cha dish sikupenda kumuuliza chochote
Humu najua mpo watumiaji wa dish la continental vp ubora wa kile kisimbusi hususan ubora wa picha?
Jee hakisumbui malipo jee?
 
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,263
Likes
505
Points
280
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,263 505 280
Sasa umeshindwa kumuuliza ndugu yako sisi ndo unatuona rahisi rahisi?
Hapana mkuu nilienda kumjulia hali alikua mgonjwa sasa nilishindwa hata kumuuliza
 
Diplomatic Imunnity

Diplomatic Imunnity

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,252
Likes
223
Points
160
Diplomatic Imunnity

Diplomatic Imunnity

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,252 223 160
Msubiri akipona umuulize mkuu
 
Nyendeke

Nyendeke

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Messages
1,365
Likes
2,008
Points
280
Nyendeke

Nyendeke

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2013
1,365 2,008 280
Picha nzuri, Malipo unalipia kama Ving'amuzi vingine tatizo ni Satellite wanayochukulia Matangazo unaweza kaa week 2 ramani hazisomi yani ni full chenga!!!
 
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,263
Likes
505
Points
280
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,263 505 280
Picha nzuri, Malipo unalipia kama Ving'amuzi vingine tatizo ni Satellite wanayochukulia Matangazo unaweza kaa week 2 ramani hazisomi yani ni full chenga!!!
Ooh
 
Q

queen of the jungle

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2017
Messages
204
Likes
380
Points
80
Q

queen of the jungle

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2017
204 380 80
wako vizuri saana malipo ya bei rahisi na vipindi vizuri tatizo lao ni kukatika kwa mawimbi lkn siku hizi wamerekebisha
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,790
Likes
25,151
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,790 25,151 280
Nunua haraka sana
 
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
2,970
Likes
2,850
Points
280
Age
33
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
2,970 2,850 280
hawa si wale wadaiwa?
 

Forum statistics

Threads 1,215,289
Members 463,075
Posts 28,542,211