Hivi wale njiwa wanaoonekana kwenye magorofa mijini ni mifugo ya nani..

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Husika na kichwa cha habari hapo juu kuna njiwa wengi hupenda kuishi kwenye majengo marefu wengi sana na ni wazuri nimewaona maeneo tofauti kama gorofa la tanesco na hata pale daraja la kimara hivi wale ni mifugo ya nani..
Ukichukulia kiimani kuna baadhi ya watu wanadai hizi si njiwa za kawaida sasa huwa najiuliza wapo pale kwa lengo gani
 
Hayana mwenyewe fuatilia utajua hayana mwenyewe watu wanaogopa kuyawinda na kuwala wakiogopa wakizani yanawenyewe.
 
ni njiwa wa mzee mmoja hivi anaitwa panga la shaba anaishi visiga mkoani pwani!
 
Ha ha ha ha ha ha

Nimecheka sana mkuu, yaani kwajinsi ulivyo missi nyama na mazaga zaga matamu tamu..

Ukafikiria kuku hufugi nyumbani wala paka, hela ya nyama nayo shida!

Mwisho wasiku unaanza kutamani NJIWA wa mjini
Nunua manati mkuu ujiwindie, hawana mwenyewe hao....
 
Back
Top Bottom