Matukio makubwa ya kutingisha yalivyozimwa na mzee wa 900 itapendeza

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,945
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Kuna matukio makubwa sana ya kutisha na kutingisha yaliyo kuwa ya trend na yalioibuka ndan ya majuma haya mawili yamezimwa kabisa na bilionea dk shika AKA mzee wa 900 itapendeza

NDOA YA DOGO JANJA NA UWOYA hili ndo tukio lilikuwa talk of the town ndo ndoa ilikuwa imezua utata na watu walikuwa wakiijadili kila siku lakin ilikoma tu baada ya dk shika kushinda mnada wa mahekalu ya lugumi baada ya kufika bei zaid ya trion tatu

ZIARA YA RAIS ziara hii ilizimwa kabisa kabisa na dk shika na watu wakawa hawajui kabisa rais yuko wap na anafanya nini na walikuwa hawajui kabisa kama kasharud inchin au bado yuko uganda

KIKI ZA KIGWANGARA aisee huyu wazir naye alikuwa ametrend kwenye media kwa uchapa kas wa matamuko lakin baada ya dk shika kuibuka jamaa kazimwa kabisa

LAZARO NYARANDU KUHAMIA CHADEMA

MASHA KUHAMA CCM

LULU KUHUKUMIWA JERA

MSIBA WA NDIKUMANA

dk shika ni noma sana wazee kwa sasa kabak akisikika peke yake kafunika watu wote nchin

Wasanii wanaogopa sana kutoa nyimbo kipindi hiki wakihofia uwepo wa dk shika

LONDON BABY
 
Hahahahaha wewe ni Shilawadu sana umenifurahisha sana

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
wakurugenzi kufukuzwa kazi Bukoba....

pia kwa ninavyowajua watanzania, Washasahau kuwa ACACIA wamekataa kulipa pesa waliyotangaziwa na magufuli..

ahaha ahahha hahaha, hii ndio Tz na hawa ndio watanzania.................

kwann ccm isitawale milele...????????????
 
L na R,nomwaaaaaaa!
 
Hahaaaa mkuu wewe noma sana aisee
 
Back
Top Bottom