Cheza na ushinde iphone 6: Duh sasa mmezidi hii ni nini?

Alecy Mlowe

Member
Joined
Oct 12, 2017
Posts
96
Reaction score
48
Kuna hii kitu ya kushiriki ili upate zawadi ya simu aina ya I phone lakini siku ya mwisho watu wanajikuta wame upload Application fulani ya vichekesho duh

screenshot_20171116-214828-png.631901
 
Attachments

  • Screenshot_20171116-214828.png
    Screenshot_20171116-214828.png
    114.2 KB · Views: 112
Ni kama watu wanazidi kutaka vya kunyonga aiseee sijui tatizo limeinamia upande upi...
 
Kuna hii kitu ya kushiriki ili upate zawadi ya simu aina ya I phone lakini siku ya mwisho watu wanajikuta wame upload Application fulani ya vichekesho duh

ukizungusha mara ya kwanza inakwambia try again, ukizungusha mara ya pili inakwambia you have won iphone please choose colour baada ya hapo yatafunguka mafile kibao ambayo hujayafungua na mwisho wa yote virus watajidownload.
Kuwa makini na achana nao kabisa hao watu, watakuharibia simu yako.
 
Achana nao wanapenda vitonga sana afu mbona ni vitu obvious mtu anaeza kuelewa kua ni utapeli huo??
 
Back
Top Bottom