Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hi nina uwezo wa kugundua kitakachotokea kesho kugundua mambo mengi Kwa kutumia macho tu lakini sijui nitayatumia wapi.Nipeni ushauri kihekima.
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Najaribu tu kuangalia maeneo ambayo wawili hawa wanafanana na yale ambayo hawafanani. Kisha nitaangalia " timing" ya kuibuka kwao, je kuna mlingano wowote wa namna walivyoibuka? Mwisho...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu zangu naomba tuelimishane juu ya kuwekwa jela..je una experience nini? Je unalala pekeyako kwenye chumba chako? Je unapewa nafasi ya kuoga na kufua nguo zako ? Je chakula mnapewa kwa haki...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ipo kampuni ya usafirishaji gari zake zimeandikwa Clinton clearing &FORWARD. Napenda kujuzwa,je,mmiliki wake ni yule aliyepata kuwa Rais wa USA,au? Nitashukuru kwa jawabu.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mara nyingine tena Miss Tanzania 2017 Julitha Kabete ameshindwa kuchomoza katika mashindano ya Miss World yaliyomalizika usiku wa leo huko Sanya China. Hapo akiwa haamini aliposikia jina...
0 Reactions
46 Replies
11K Views
Mkuu wa wilaya ya Kigoma Samson Anga ameamuru kukamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria kwa Afisa Mfawidhi kitengo cha usimamizi na udhibiti uvuvi Ziwa Tanganyika Rodrick Mahimbali pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nilikuwa nabishana na wafanyakazi wa Serikali nikawambia katika utawala huu wasitegemee kuongezewa kiasi chochote cha mshahara zaidi zaidi wategemee uliopo kupunguzwa. Bahati mbaya sana...
14 Reactions
49 Replies
6K Views
Kuna mkubwa au kiongozi wa wachawi ndani ya kambi ya wakimbizi Nyarugusu Kigoma amefariki na kabla ya kufariki alitoa maagizo kwa ndugu na jamaa zake kuwa siku akifariki basi wachukue mwili wake...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Mkazi wa kata ya ya Ruvuma wilayani Songea mkoani Ruvuma Bw.Ally Milanzi mwenye miaka 47 ametelekezwa na ndugu zake baada ya kupata ulemavu huku akiwa ametokwa na vidonda kama vya kuungua na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanabodi, Baada ya kutafakari yanayoendelea kwenye nchi yetu Tanzania nimeona ni vema nikusalimu RAIS wetu mstaafu JMK. Kwanza kabisa shikamoo MHESHIMIWA, naamini unaendelea Vema na...
19 Reactions
74 Replies
8K Views
Inaskitisha sana hawa jamaa wanajiita wajeda makuruta kiukweli wanawadharirisha sana watu ktk zoezi bila kujali umri wanajiona mungu watu inakera sana but kumbukeni huku vijijini mtaumia watu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Daktari wa Kiitaliano Sergio Canavero alishika vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali baada ya kutangaza kwamba atafanya operesheni ya kuhamisha kichwa cha mtu kwenda kwa mtu mwingine mwaka...
12 Reactions
155 Replies
27K Views
Hakika nimepatwa na hali ya kukata tamaa isiyo kifani, TAREHE 24/10/2017 tulipata safari ya kikazi kwenda Zanzibar Ku campaign juu ya Bio gas,namna ya kuandaa na kuitumia 1. Baada ya kipindi...
13 Reactions
232 Replies
17K Views
Kuna hali ya taharuki imeikumba shule ya msingi Tingi iliyopo wilaya ya nyasa mkoani Ruvuma. Shule hiyo ambayo ilianzishwa mwaka 1947 imekumbwa na tatizo la wanafunzi wake kuzirai, kupatwa na...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mbali na kifungo vya maisha gerezani, muswada huo unapendeza kutaifisha mali za wanaojihusha na biashara hizo huku maofisa wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya wakiruhusiwa...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Ndugu zangu wanajamvi. Mimi hapa nlipo matatizo.makubwa sana yamenipata naandika uzi huu nikiwa na haraka kidogo ila nimechanganyikiwa naombeni mnisaidie nipo hospitali kwa sasa ila hata mwenye...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Kuna Taarifa zinazagaa sasa kuwa gorofa la Tanesco Ubungo litavunjwa kupisha flyover na Jengo la wizara ya maji pia litavunjwa. Huu ni upotevu wa kodi ambazo ni pesa zetu... Tuandamaneni kuzuia...
6 Reactions
127 Replies
12K Views
Kama tunavyojua maisha ni safari ndefu ambayo imechanyanyika na vikwazo, Mikasa na matukio ambayo mara nyingne binadamu wenzako wanaweza wasiamini na wakajua ni uongo au ni matukio ya kubuni ila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…