Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hata jogoo ukimkata shingo yake ghafla na kutenganisha kichwa na kiwiliwili kichwa kinaweza kuendelea kuwika. Hofu na kelele nyingi zinazosikika nchini inawezekana kabisa zikawa ni za wale...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie member wa Chama kubwa la JF. Kwa anayejua majina ya vidole vya mikononi na miguuni anisaidie. Ukifafanua kwa picha itapendeza zaidi.
0 Reactions
8 Replies
11K Views
Kila uchao kumekuwa na maongezeko ya adha katika utumiaji wa barabara tokea kwa askari usalama barabarani. Hivi sasa wamekuja na jingine la kuyasubiria magari kwenye vivuko vya watembea miguu na...
0 Reactions
2 Replies
671 Views
Katika mjadala unaoendelea sasa ktk kipindi cha Clouds 360 watangazaji wa kipindi hicho wameiponda meli ya matibabu ya bure ya wachina wakidai tatizo la lugha litawagharimu wananchi. Hassan...
2 Reactions
58 Replies
6K Views
Nimecheka sana leo, kuna mtu anasema anauguliwa na mama yake, na amempeleka hospitali mbalimbali, dawa mbalimbali za kienyeji na za kisasa zimetumika ili kuokoa maisha yake, kwa wachungaji ameenda...
0 Reactions
1 Replies
718 Views
Nimenunua bidhaa za ujenzi za Tsh 210, 000 lakini RISITI YA EFD inasoma total cash Tsh 178, 000 na VAT Tsh 27, 152. Nilipomuuliza mbona mashine yake haitoi risiti sahihi maana 18% ya 210, 000/=...
4 Reactions
131 Replies
14K Views
Pamoja wakuu! Tulipokuwa mashuleni, ktk kampeni za uongozi (viranja) wakati fulani liliibuliwa swali kwa mgombea wa u-Head Boy. Swali lilianza na maeleo marefu: kuwa wanafalsafa wa kigiriki...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Msichana mmoja huko San Fransisco Marekani aliamua kupeleka tukio lake la kufunga ndoa kwenye hospitali ambayo baba yake anelazwa kwa maradhi ya Saratani. Vieneese ambaye alikuwa anafunga ndoa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mfumo wa elimu nchini hausaidii kukidhi mahitaji ya nchi kwa sasa hivyo serikali inawakaribisha wadau wenye maoni na mapendekezo yatakayosaidia kuboresha sera...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mapema kabisa tuliwambia haya mambo ya bure ni laana tu kwanini msijiulize maswali ya msingi kuhusu Huduma mbovu za afya hapa nchini? Mkasahau kama kawaida yenu mnaishi kwa matukio na ndiyo maana...
11 Reactions
28 Replies
3K Views
Wazee wa mila na desturi kwenye kabila langu waliamini kuwa watu wanaozaliwa na vichwa visivyo na kisogo wanakuwa na uwezo mdogo kiakili. Hili suala nimekaa nalo Muda mrefu sana nikilifanyia...
2 Reactions
102 Replies
29K Views
Kuna huyo ofisa wa TRA Mwanza kama Tax Assessor anafahamika kama Hassan aache tabia hii ya kutulazimisha rushwa kwa vitisho na nyodo sie wafanyabiashara. Kijana anashindwa kuelewa ugumu wa...
5 Reactions
40 Replies
8K Views
wadau jana nlilazwa sababu ya malaria kali nipo hapa Sanitas Hotel. kama upo maeneo ya karibu sana mchana huu au jioni. ukija uwasiliane nami inbox kwanza tufahamiane. ntakuelekeza chumba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mamlaka ya Vitambulisho vya taifa NIDA imeendelea na zoezi la usajili na utambuzi nchini ambalo linafanyika kwa awamu. Awamu ya kwanza imejumuisha mikoa 12 ikiwemo mkoa wa Njombe. Akizungumza...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nawashukuru sana wizara ya Elimu Tanzania kwa jitihada zote wanazochukua ili kufanikisha elimu bora inapatikana kwa watanzania kwa garama nafuu(Elimu bila malipo kwa elimu ya awali mpaka...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Wadau Watanzania 3 wamekamatwa nchini Swaziland na Kilo 30 za madawa ya kulevya aina ya Heroin. Madawa hayo yalikuwa kwenye mifuko ya plastic ndani ya buti la gari na kisha kuwekewa pilipili...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna madaraja 3 ya watumishi wa umma Tanzania ambayo ni; 1.Wanaoishi kama malaika. Hawa ni pamoja na makatibu wakuu, wakurugenzi na watendaji wa taasisi mbalimbali, baadhi ya mameneja na...
7 Reactions
48 Replies
8K Views
Every time when I take a look at my crystal-ball, namuona Slow-Slow, kada mfia chama akihamia CHADEMA, na namuona akisema.........'kule CCM ni genge la wachumia tumbo. Watu wasiojali sauti za...
1 Reactions
0 Replies
731 Views
Dar es Salaam. Tanzania imechanua na kufanya vizuri katika viwango vilivyotolewa na mfuko wa Mo Ibrahim uliopima hali ya utawala bora na maendeleo na kuziacha kwa mbali baadhi ya nchi za Afrika...
0 Reactions
5 Replies
975 Views
MUHIMU: Tofauti zetu za kisiasa hazituondolei uhalali wa kushirikiana katika maswala muhimu ya kijamii yanayotuhusu. Kila mmoja wetu anapaswa kutambua kua umoja wetu, upendo wetu na amani ya nchi...
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…