proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,796
- 10,082
Kuna jamaa mmoja ni mwalimu alinikopa laki tatu nikampa akaniahidi atarudisha mapema lkn hadi sasa ni miezi sita imepita kwenye cm hapatika halafu cha kushangaza zaidi ameibainika alikugushi vyeti na ameshakimbia jamani nifanyeje.?






