Natamani tuwe na Tanzania bora.Natamani tuwaachie watoto wetu nchi iliyojengeka ktk misingi bora ya kujitambua,kujiamini na kujieleza.
Ninawaasa vijana wenzangu tujitahidi kutumia fursa na hasa zisizo za kisiasa kujiendesha.Wanasiasa waliowengi siyo wakweli.Wapo tayari kutudanganya ili wao wafikie malengo yao.
Ninawasihi sana Ndg zangu tujielekeze ktk kufanya kazi.