hypothesis yangu juu ya kuhama kwa wengine kwenda ccm

hypothesis yangu juu ya kuhama kwa wengine kwenda ccm

mahwelu

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
322
Reaction score
253
1. ikitokea CCM inashirikiana na TCRA kuchambua posts na habari za watu kadhaa then wanapata post yenye ishara ya kukuweka 30yrs jela, then unaitwa kwasiri unaambiwa kijana the best option ni kuhamia huku la tuchukue hatua!!! wengi watahamia

2. Ikitokea CCM ikawagusa watu kama kitila kwenye mambo yasiyokuwa halali kwakupitia vyombo vyake inawablackmail wanajikuta wapole watahama

3. Ikitokea vijana wenye njaa wakaletewa mlungula wa kutosha na kuahidiwa kushonzwa au kumnyetiwa wengi watahama

mwishowe watakaobaki upinzani ni wanaume na wapambanaji wakweli. watoto wa mama na wapakapoda wengi wataliwa kweupeeeeeee
 
Back
Top Bottom