Kiwango cha juu kabisa kumpa demu ni Pound 1200

mahwelu

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
322
Reaction score
253
Kiwango cha juu ni gbp 1200 kumhonga demu. Lakini kwasasa nalaumiwa kutohonga kwani nimejifunza no matter how much you give out, they will always keep complaining...

siku hizi nikitoka na demu nalipia gharama za usafiri na chakula na hotel only. akitoka kila mtu kivyake. Napata lawama but sijali.

How much ni kiwango chako cha juu kuhonga demu?
 
poleni sana mnaohonga, mi mbunye nakula free kabisa hamna hata kodi ya pango
 
Kiwango cha juu ni gbp 1200 kumhonga demu. Lakini kwasasa nalaumiwa kutohonga kwani nimejifunza no matter how much you give out, they will always keep complaining...

siku hizi nikitoka na demu nalipia gharama za usafiri na chakula na hotel only. akitoka kila mtu kivyake. Napata lawama but sijali.

How much ni kiwango chako cha juu kuhonga demu?

Nafikiri huwa tunatakiwa kujifunza vitu kwa wazazi wetu, why don't you ask your parents?
 
Kiwango cha juu ni gbp 1200 kumhonga demu. Lakini kwasasa nalaumiwa kutohonga kwani nimejifunza no matter how much you give out, they will always keep complaining...

siku hizi nikitoka na demu nalipia gharama za usafiri na chakula na hotel only. akitoka kila mtu kivyake. Napata lawama but sijali.

How much ni kiwango chako cha juu kuhonga demu?
Gbp 1200 ni kama TZS 4m...kwahio ndio kiwango unachohonga
 
£1200??

PM yako iko ktk hali gani mpk wakati huu boss?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom