Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI anayeshughulikia Elimu TIXON NZUNDA amesema serikali inatarajia kuajiri walimu wa sayansi elfu moja na mia sita ifikapo...
Rushwa hasa katika level za chini za watumishi waserikali hususani trafiki police, hospitalini, wizarani, TRA, Bandarani zimepanda bei kwa kasi sana mfano trafiki anakukamata anakubambikia makosa...
Wakuu tunashangazwa na uwepo kwa wingi kwa hawa RAIA toka Malawi huku tegeta masaiti wakifanya kazi za ulinzi, uhouseboy, uhoysegirl, Shamba boy, etc. Watu hawa hawana kibali chochote cha ukazi...
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepokea gari aina Toyota Land Cruiser kutoka benki ya CRDB ambalo litasaidia kuongeza kasi na ufanisi katika kupambana na matukio ya...
Wanatunyanyasa sana sisi wateja wanywa soda, maji nk haswa kwa siku za mwisho wa juma tunapokwenda kuangalia ligi mbalimbali bar hii ipo maeneo ya tank la maji
Wakuu,
Japo jambo hili limepowa kwa sasa lkn mtakumbuka Ngeleja alidai kurudisha mabilioni hayo TRA ambao nao waliyakana kwani hayawahusu. Je pesa hii imepelekwa wapi?
Kuna mpango mkakati ulioundwa na Team ya Makonda kwa ajili ya kuidhibiti timu ya Fiesta katika mkoa wa Dar es salaam. Makonda na wenzake wana mkakati juu ya mpango wa kuharibu show ya Fiesta...
Imeelezwa kuwa 95% ya Watanzania wamefikiwa na Mtandao wa simu za mkononi, miongo miwili iliyopita tangu kuanzishwa kwa huduma hiyo hapa nchini Tanzania. Hii imesababisha kiwango cha uingizaji...
Kabla ya April 2017 ulimwengu wa Habari ulishuhudia moja kati ya tafrani ambazo hazijawahi kutokea kwenye tasnia ya habari, Nazungumzia Urafiki wa Ruge na Makonda uliovunjika baada ya Mkuu huyo...
Kwa mujibu wa matokeo ya Utafiti wa Shirika la Twaweza (2017) uitwao: ‘Hawashikiki? Mitazamo na maoni ya watanzania juu ya rushwa’ uliotolewa mapema leo unaonyesha kuwa rushwa katika sekta ya umma...
Naombeni msaada wapendwa nimenunuwa Umeme kwa hao Airtel sijapata jibu toka mchana na Pesa imeenda napiga number 100 machine to kwa kwenda mbele sitaki sikia hawa Airtel wanaudhiiii
Hii Serikali imekuwa ikijinasibu kuwa hapa ni kazi tu na kuwa inajali wanyonge.
Nimeangalia mfano mdogo tu ofisi ya Rais Tamisemi. Hawa wamekuwa wakiimba kila siku kuwa uhamisho wa watumishi...
Wakuu,
TCRA imeipiga faini Clouds FM Radio jumla ya shillingi za kitanzania milioni 12 makosa matatu
Kos la kwanza ni kukiuka kanuni na maudhui ya utangazaji, na kutangaza habari ya uongo katika...
Habari wakuu. Huyu ni mwajiriwa mpya na serikali. Anaomba USHAURI kutoka Moshi kwenda Kigoma kusafirisha vitu kama furniture za ndani usafiri unagharimu KIASI gani na atumie usafiri gani...
Makonda popote ulipo yamulike haya; miundo mbinu inajengwa Kwa gharama kubwa lakini huharibiwa Kwa uzembe;
Ufugaji Wa mifugo mingi maeneo ya mjini hususani jijini dar es salaam huchangia Kwa kiasi...
Kinachonisikitisha ni miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika kuna shule kama Shule ya msingi Mvomero-Morogoro haina madawati na madarasa.Kweli watu wakiwa wanaikosoa serikali ya CCM wanafanya...
Hili jambo niliiona kupitia kwangu ila nikaja kuliona kwa watu wengine.
Wengine walivyoonesha ni kuwa wamechoka na kuchoshwa.
Naamini kuna namna umechoka au umechoshwa. Unaweza kujiexpress??
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wana-Lindi na wana-Ruangwa watumie fursa zilizopo ili kufanikisha maandalizi ya sherehe za Maulid na Baraza la Maulid Kitaifa mwaka huu.
Ametoa wito huo jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.