Hawa Raia wa Malawi wamekuwa kero huku Tegeta, uhamiaji wamelala?

Wakuu tunashangazwa na uwepo kwa wingi kwa hawa RAIA toka Malawi huku tegeta masaiti wakifanya kazi za ulinzi, uhouseboy, uhoysegirl, Shamba boy, etc. Watu hawa hawana kibali chochote cha ukazi. Nadhani watu hawa ni hatari kwa usalama wa wakaazi wa huku na usalama wa nchi kwa ujumla. Uhamiaji wamelala?.
Shamba boy,house girl,awe tishio kwa usalama wa wakazi,?!!! C Mon meen, ur fucking kidding me!!!
Ndugu yangu hao wanatafuta riziki tu,wakipata wanarudi kwao,au wanaomba uraia wanakuwa wabongo wenzetu,ni kama walivyo Latinos kule kwa mkulu Trump,
Watu wabaya kwa usalama wa nchi hii,ni,mafisadi wote,waliojaa kuanzia halimashauri mpaka ikulu,watu ambao maamuzi yao,yanatugharimu sisi na kizazi cha NNE kutoka sasa,na wore hao wapo upinzani,na CCM,
Unaenda hospitali,SAA NNE,bado hujamuona dakitari,polisi wanakaa nyumba za tope,wadogo zetu wanakosa mikopo ya elimu ya juu,
Wanao sababisha haya,hao ndio hatari kwa usalama,
CCM haifai,inabidi iondoke,upinzani,umejaa opportunist tu,na vibaraka,propagandist tu,hawana jipya,ukimtoa Kafulila,na Zito Kabwe tu,wengine wote,hata wakipewa nchi,hamna kitu,inabidi tuanze upya,
 
Umeanza mbaaliii ila pointi yako ilikuwa hapo mwishoni.
 
Hakuna watu ambao wako poa waaminifu na wanyenyekevu kama wamalawi hawa jamaa unaweza kuwadharau kwa muonekano wa kishamba, mtoa mada ni kweli usalama wako unatishiwa na hao wamalawi? Na kwa bahati nzuri umesema ni ma shamba boi na ma house boy, nenda kwao ukaone waKinga na waNyakyusa walivyojaa huko, unless kama wamekudhuru ila malalamiko yako hayana mashiko,
 
Huku city center warundi wamejaa wanatuuzia madafu na machungwa mbona fresh tu!..tuache roho mbaya na kujitisha bila sababu!!!.. kama si mkoloni kutugawa kwa kututenga kwa mipaka huu ujinga wa sijui wahamiaji haramu usingekuwepo. Yaani unamuita mwafrika mwenzako haramu kisa tu mzungu kawatenganisha kwa mipaka? Wtf?
 
Hakuna watu ambao wako poa waaminifu na wanyenyekevu kama wamalawi hawa jamaa unaweza kuwadharau kwa muonekano wa kishamba, mtoa mada ni kweli usalama wako unatishiwa na hao wamalawi? Na kwa bahati nzuri umesema ni ma shamba boi na ma house boy, nenda kwao ukaone waKinga na waNyakyusa walivyojaa huko, unless kama wamekudhuru ila malalamiko yako hayana mashiko,
Ukienda kwao ndio utaelewa kama wako poa au vipi, wana roho mbaya sana usiwaone hivyo!
 
Kutafuta maisha haikatazwi,wahamie waishi watakavyo sema wafuate sheria alafu wawe na vibali vya kuishi nchini.
 
Ukienda kwao ndio utaelewa kama wako poa au vipi, wana roho mbaya sana usiwaone hivyo!
Niende mara ngapi? Nimefanya biashara nao kyela, kwa taarifa yako bidhaa nyingi kyela tulikuwa tunavuka boda tunanunua malawi na kuziuza tz, ukienda brantyre na lilongwe wabongo wengi ndio madon kule na wenyeji wengi ndio walala hoi, sijui una nini cha kunisimulia juu ya hawa watu. Jambo kubwa kuhusu malawi, waalifu wafanya biashara wakubwa, matapeli wakubwa, wezi na majambazi ni waTz. Sasa ukiingia kwenye 18 zao na tabia za kariakoo ndio wanakunyoosha, ila hawa jamaa ni masikini wa kutupwa, sio watu wa kujiongeza kama wa bongo, hawana ujamja ujanja na naamini wakija dar wanaona kama wamefika mbele.
 
Wakiwa hapa Tanzania kwa vile watu wengi hawawezi kuwatofautisha na Wamanda au Wamatengo, basi wao wanajiita, Wamanda.
Ni hatari tupu. Wana dalali kila mtaa wa Dar, hasa Wilaya ya Kinondoni.
 
Shamba boy,house girl,awe tishio kwa usalama wa wakazi,?!!! C Mon meen, ur fucking kidding me!!!
Ndugu yangu hao wanatafuta riziki tu,wakipata wanarudi kwao,au wanaomba uraia wanakuwa wabongo wenzetu,ni kama walivyo Latinos kule kwa mkulu Trump,
Watu wabaya kwa usalama wa nchi hii,ni,mafisadi wote,waliojaa kuanzia halimashauri mpaka ikulu,watu ambao maamuzi yao,yanatugharimu sisi na kizazi cha NNE kutoka sasa,na wore hao wapo upinzani,na CCM,
Unaenda hospitali,SAA NNE,bado hujamuona dakitari,polisi wanakaa nyumba za tope,wadogo zetu wanakosa mikopo ya elimu ya juu,
Wanao sababisha haya,hao ndio hatari kwa usalama,
CCM haifai,inabidi iondoke,upinzani,umejaa opportunist tu,na vibaraka,propagandist tu,hawana jipya,ukimtoa Kafulila,na Zito Kabwe tu,wengine wote,hata wakipewa nchi,hamna kitu,inabidi tuanze upya,
Sikuelewi....!
 
Back
Top Bottom