malogi1976
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 297
- 168
Naombeni msaada wapendwa nimenunuwa Umeme kwa hao Airtel sijapata jibu toka mchana na Pesa imeenda napiga number 100 machine to kwa kwenda mbele sitaki sikia hawa Airtel wanaudhiiii
Ingia kwenye Page yao ya Facebook,Airtel Tanzania.Wape namba ya mita,Namba ya simu uliyotumia kununua,Kiasi Na muda ulionunua.Watakutumia tokenNaombeni msaada wapendwa nimenunuwa Umeme kwa hao Airtel sijapata jibu toka mchana na Pesa imeenda napiga number 100 machine to kwa kwenda mbele sitaki sikia hawa Airtel wanaudhiiii
Mimi Huwa nawatext Facebook wanajibu mapema tuNaombeni msaada wapendwa nimenunuwa Umeme kwa hao Airtel sijapata jibu toka mchana na Pesa imeenda napiga number 100 machine to kwa kwenda mbele sitaki sikia hawa Airtel wanaudhiiii
Jaribu kuingia Airtel Tanzania Facebook uwatext watakujibuAirtel wazinguaji tu mm nilinunua umeme tokea jmamos usku mpaka leo sijapata token zangu aitel wazinguaji
Voda sina experience nao,ila Airtel mzigo ukibuma Huwa naingia Facebook page yao Huwa wanajibu Na wanakutumia token,ila Tigo ndiyo Huwa wanajibu haraka zaidi kuliko Airtel,tigo ndani ya dakika kumi mambo yanakuwa hadharaniItakua wameambiana nini....
Mi nmenunua voda naona kimya tu, na simu yao haiiti.