Wahudumu Rombo bar eneo la Tank Maji, acheni kauli za dharau

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
Wanatunyanyasa sana sisi wateja wanywa soda, maji nk haswa kwa siku za mwisho wa juma tunapokwenda kuangalia ligi mbalimbali bar hii ipo maeneo ya tank la maji
 
ETI KWENDA KUNYWA SODA BAR ....DUKANI HAZIPO ? AU KWENDA KUPIGA CHABO ? natania tuu !!!
 
Back
Top Bottom