Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna sehemu nimeona watu wanafanya mashindano ya kukimbiza kuku, watu wapo rundo zaidi ya 20 wanamkimbiza kuku. Nilichokiona kwa yule kuku alikua na stress za ukweli ame panic anakimbia kuokoa...
25 Reactions
84 Replies
921 Views
Hili ndio linaenda kuwa taifa jipya duniani baada ya South Sudan mwaka huu ama mwanzoni 2027. Kila kitu kimekamilika kuwa taifa. Inasubiriwa tu uthibitisho (approval) kutoka serikali na bunge la...
3 Reactions
6 Replies
224 Views
Habari wote. Wafanyakazi wa RITA mliomo humu eleweni na muwafahamishe pia na wenzenu kuwa jina la babu sio jina la ukoo. Mfano mimi naitwa John Julius Kipingo, cha kushangaza ukimuombea...
14 Reactions
37 Replies
793 Views
Juzi nimetoka ofisi za TTCL mhudumu kanambia kaa hapo kwanza alafu hivi viti vipo mbele ya ofisi yake sijui ndio tuite meza. Mda wote ananiangaliaa, nimekaa wee mpaka nikachoka akawa anapitqpita...
3 Reactions
7 Replies
178 Views
Dakawa mzani Basi la happy nation namba T 452 EDW limelala. Sababu ni mvua. Kama ulikuwa unamsubiri ndugu yako pole sana. Mtandao haushiki na mazingira ni mabaya.. Waruguru wametoa macho kama...
7 Reactions
20 Replies
638 Views
Tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipounda Tume ya kuchunguza matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, changamoto kubwa iliyoikabili Tume hiyo imekuwa wingu la mashaka kuhusu...
3 Reactions
12 Replies
208 Views
Kwa wale watu wanaoomba, kusali na kuswali, unapofanya maombi au dua unakuwa unamkumbusha mungu au unamuomba mipango yake ibadilike? Maombi yanabadilisha jambo lolote alilolipanga mungu? Na pia...
14 Reactions
67 Replies
819 Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kukamilisha mchakato wa kumpata mkandarasi wa ujenzi wa barabara ya Kisarawe hadi Maneromango, wilayani Kisarawe...
1 Reactions
1 Replies
361 Views
Kuna mambo kadhaa nimekosea kwenye maisha yangu lakini sababu kubwa ni kukosa mshauri. Sasa hapa naweza case yangu naomba unishauri ili nisirudie tena makosa. Kwasasa nipo mkoa wa X Miaka ni 26...
12 Reactions
80 Replies
1K Views
Hapa Tanzania. Narudia tena, hapa Tanzania kijana jitahidi kupambania familia yako (wewe mwenyewe, mke/mume na watoto) basi. Mengine achana nayo maana hutayaweza. Kama unaingia kwenye siasa ingia...
12 Reactions
49 Replies
693 Views
Inashangaza sana leo karne ya 21 iliyo kasi zaidi kiteknolojia kuna watu hasa wa upinzani wanaojenga hoja kwanini Fred Vunjabei akubalike zaidi Isimani kuliko Kalenga alipozaliwa mara baada ya...
0 Reactions
2 Replies
143 Views
Wakuu mnamkumbuka bwana mdogo Rashid Charles Mberesero, Mpare, aliyekuwa moja wa masterminder wa shambulio la Garisa University na kuua 148, amejinyonga Gerezani leo Mapambano mema na kaburi na...
6 Reactions
254 Replies
30K Views
Leo ni meli tatu pekee zinaonekana kuwa zimepitia hadi sasa, katika mlango bahari wa Hormuz kulingana na uchambuzi wetu wa data za MarineTraffic Kulingana na uchambuzi wa data za ufuatiliaji...
7 Reactions
39 Replies
890 Views
Kasulu. Licha ya kilimo kuwa shughuli kuu ya uchumi kwa wakazi wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, ikiwahakikishia usalama wa chakula na kipato kwa kuuza mazao, shughuli hiyo sasa inatishia hatima...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kutokana na kukithiri kwa tatizo la wazazi kutelekeza watoto wao na kwenda kwenye makambi ya kilimo wilayani Kasulu Mkoa wa Kigoma, uchunguzi umeonyesha kuwepo kwa mtazamo hasi kwa elimu. Awali...
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Utangulizi Ngome ya vijana ACT-Wazalendo kwa niaba ya vijana, tumefuatilia hotuba ya bajeti ya Mheshimiwa Waziri Joel Arthur Nanauka aliyoitoa jana tarehe 20 Aprili, 2026 kuhusu Mpango na...
1 Reactions
0 Replies
299 Views
Sina lengo la kujisifu ila nahitaji msaada wa kisaikolojia au kitu kama hicho. Nilikuwa mtu wa ku share ideas ila watu wengi walikuwa wanazikataa kuwa hazifikiki au ni malengo makubwa kuliko...
1 Reactions
5 Replies
209 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania Gerson Msigwa ametoa sababu kwanini wanafikia hatua ya kufungia Baadhi ya Vyombo vya Habari...
1 Reactions
5 Replies
265 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…