wadau kiukweli hii hali ya uchumi ni kufa kufaana. imesaidia sana wale mademu waliokuwa wanazingua sana zamani ... aaahh.. sasa wamekuwa wepesi kama unyoya tu.yaani kama upo fresh kila siku...
Takwimu za Shirika la takwimu la Taifa (NBS) zinaonesha mfumuko wa bei Tanzania kushuka kutoka 5.1% mwezi Oktoba hadi 4.4% mwezi Novemba.
Tanzania Annual Inflation Decrease to 4.4% in November...
Kamanda wa polisi mkoa wa Dar amesema hakuna ushahidi kuwa waliowapiga wananchi Ukonga ni askari, na ametaka mtu yeyote mwenye ushahidi aupeleke.
Ameelezea watuhumiwa hao walipokuwa wanawapiga...
Salam zenu wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza,
Ndugu zangu nimefikia uamuzi huu kutokana na ushauri mfupi na mzito kutoka kwa kaka yangu na pia kwa kuwa naona nafsi inamsuta sana.
Niseme tu...
Salaam wana HHM
Jamani mi nina mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 4 na miezi kama 8 hivi
Huyu mwanangu anaishi na mamake mkoa jirani na ninaoishi Mimi,kila Mara napata malalamiko toka kwa...
Habarini wa afrika wenzangu. Kwa watanzania hongereni kwa Uhuru, pia kwa Juhudi za Magufuli nasikia sasa Life expectancy yenu imepanda ktk utawala wake kutoka miaka 37 mpaka 61, japo binafsi...
Kwa wiki kadhaa sasa Chama Cha Mapinduzi kimeamua kupambana na CHADEMA kwa kutumia mikutano, maandamano na mitandao ya kijamii.
Mfumo huu wa mapambano umekuwa ukitumiwa na wanaCHADEMA kwa...
Bila shaka huko ambako yupo sasa hivi, atakuwa anajiuliza kwanini imekuwa hivi? Na atajifunza kuwa kuweka akiba ya maneno pia atajua kuwa dunia hii ni tambara bovu na siasa ni kupakana matope...
Wanajukwaa,mwenye taarifa kama Adv.Mwale wa Arusha kama naye ni miongoni mwa waliosamehewa jana.Huwa nikiangalia mazingira ya kesi yake na maamuzi ya mahakama naonaga kama kuna mkono wa mtu...
Tunaweza kufanya uchunguzi wa kujua Sumu ina kazi gani...tunajua fika kazi ya sumu ni kuua vijidudu na ndio maana dawa zote zinatengenezwa kwa kuwekewa sumu ambayo imedailutiwa ili kuweza kuua...
Najihisi kma naishi ulimwengu wa pekeangu ninapopita na kuona , watu wananyumba nzuri na magari makali hali ya kua mm hata kumake buku kwa siku inakua ngumu kwa kipa ninavyojitahidi.
Serikali imesema shule za taasisi za dini zimepoteza mwelekeo kwa kuwa zimeanza kuzalisha vijana wa vijiweni na baadhi zinatajwa katika suala la ushoga.
Kauli hiyo imetolewa leo Ijumaa na Naibu...
Mamilion ya WaTanzania walishangilia kwa furaha baada ya kuskia habari ya kuachiwa watu hawa kwa msamaha wa Rais, walio wengi walifikiri labda ni utani wa kwenye mitandao hasa wale waliokua...
Kufumaniwa raha sana. Kufumania ni uchungu sana.Unaweza omba mbingu ipasuke uzame ndani uachane na huyo kiumbe.
Ukimfumania usiyemhitaji ni kick nzuri sana ya kuhalalisha utengano. Raha sasa...
Hongera kwa miaka 56 ya Uhuru!
Ninapenda kua na passport ya kusafiria kama moja ya vitambulisho vyangu... Ivi ni lazima uwe na safari ya kwenda nchi za nje ndo uoate passport au naweza tu kwenda...
Yaan sijui nna matatizo gani.
Usingizi napata kwa taabu sana. Muda mwingine navusha usiku mzima bila kulala huku mwenzangu akikoroma kisawasawa.
Lakini nikipata safari ndogo mbili tatu baaasi...
Nimejaribu kufanya kaupelelezi kangu siku kadhaa, barabarani wanaume wengi ndio wanaoendesha vitugari vidogovidogo passo, vits, starlet na hivi vitugari vyenye matairi matatu vya siku hizi...
Hivi kwenye maazimisho ya uhuru reo hakukuwa na umuhimu wa kusimama hata dakika tano ili kutoa heshima kwa askari wetu waliouwawa Congo?[emoji86] [emoji86] [emoji86]
Wakazi WA dar WA Kitambo hiko mnakumbuka tank la gesi la songas pâle ubungo lilipolipuka Enzi hizo nipo primary(kabla ya 2004) nilikua naishi kigogo luhanga kwenye magheto toka mkoloni
Heshima zenu wakuu. Kama kichwa kinavyojieleza, leo ktk sherehe za uhuru mheshimiwa rais ametoa msamaha kwa wafungwa waliokuwa wamehukumiwa kunyongwa lakini pia wafungwa wa makosa mengine.
Na...