Bornventure
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 529
- 523
Habarini wa afrika wenzangu. Kwa watanzania hongereni kwa Uhuru, pia kwa Juhudi za Magufuli nasikia sasa Life expectancy yenu imepanda ktk utawala wake kutoka miaka 37 mpaka 61, japo binafsi sijaelewa (nadhani ni frustrations zangu). OK nirudi kwenye hoja yangu, Napenda kuulizia Mr mshana jr sijamsikia muda mreefu. Yu wapi huyu Mortuary attendant jamani