Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Kufumaniwa raha sana. Kufumania ni uchungu sana.Unaweza omba mbingu ipasuke uzame ndani uachane na huyo kiumbe.
Ukimfumania usiyemhitaji ni kick nzuri sana ya kuhalalisha utengano. Raha sasa ufumaniwe na anayekupenda.
Ulishawahi kufumaniwa au kufumania? Ilikuwaje na ikawaje? Kukupata ngeu kutoka kwa vijana wa kazi mjini?