Msaada kuhusu International Passport

Msaada kuhusu International Passport

Fibs

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2017
Posts
528
Reaction score
650
Hongera kwa miaka 56 ya Uhuru!
Ninapenda kua na passport ya kusafiria kama moja ya vitambulisho vyangu... Ivi ni lazima uwe na safari ya kwenda nchi za nje ndo uoate passport au naweza tu kwenda kupata passport bila ata kua na safari yoyote?
Na pili! Gharama za kupata international Passport zipoje?
 
kwa Tanzania unapohitaji hati ya kusafiria lazima uwe na shughuli nje ya nchi.

hapa unaweza kualikwa na rafiki au ndugu, biashara, kutembea(utalii) au safari kikazi. Hapa panahitajika uthibitisho wa unachoenda kukifanya ndipo wakuamini uhamiaji upate Hati.

Vingine.
2. Cheti cha kuzaliwa chako na cha mzazi mmoja au affidavit kama hawana.
3. Barua ya mtaa utokako akikutambulisha kama mkazi.
4.barua ya maombi ya Hati ambayo mara nyingi utaikuta uhamiaji.

Gharama: 50000 tsh


Kama hauna nilichopigia mstari kuna watu humo humo kwa njia za panya unatoa 150000tsh unapata hati yako. Ieleweke rushwa ni adui wa haki na rushwa sio nzuri.
Asante sana kwa taarifa hii
 
we ingia jukwaa la hoja na habari mchanganyiko hlf kwenye seaech bar andika neno passport zitakuja tu nyuzi kibao...utachagua inayokufaa!
Aaante mkuu
 
Back
Top Bottom