666 chata
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,688
- 3,816
Mamilion ya WaTanzania walishangilia kwa furaha baada ya kuskia habari ya kuachiwa watu hawa kwa msamaha wa Rais, walio wengi walifikiri labda ni utani wa kwenye mitandao hasa wale waliokua hawafuatilii maadhimisho ya miaka 55 ya uhuru.
Msamaha huu umeacha alama nyingi sanaa ya maswali ikiwemo "kumbe wakina babu seya wanapendwa kiasi iki?", "je waTanzania karibu wote kumbe walikua wanaumizwa sanaa na vifungo vya kina babu seya kwa kiasi iki?"
Kwa hakika watu hawa wamewagusa wengi na wamefurahiwa sanaa na wengi, hakika Rais Magufuli amejiongezea thamani maradufu na kubwa sana kwenye hili na ukweli ulio wazi tu kwamba wananchi hawa leo wamefurahia kushinda hata siku ile ya makinikia na report za migodi zilivyo tajwa.
Rais hajakosea ana mamlaka hayo na yeye sio wa kwanza, hata nyerere aliwai kuwaachia huru baadhi ya watu waliokua wamehukumiwa vifungo vya maisha au kunyongwa mpaka kufa akiwemo mama wa mtangazaji Taji Liundi aliekutwa na hatia ya mauaji ya wanawe wawili.
Taarifa zinadai walioachiwa ni Mzee Nguza na mwbae Johnson papii, wakati jela walikua wamebakia watatu baada ya mtoto wa mwisho wa mzee huyu kuachiwa mwaka 2012 na mahakama ya rufa, walikua wamefungwa wanne, sasa sijajua huyu mmoja aliebakia nae ni vp sasa?