Kwani alishahukumiwa?Wanajukwaa,mwenye taarifa kama Adv.Mwale wa Arusha kama naye ni miongoni mwa waliosamehewa jana.Huwa nikiangalia mazingira ya kesi yake na maamuzi ya mahakama naonaga kama kuna mkono wa mtu.
Naomba mwenye taarifa pls atupe updates.
Kesi nyingi za serikali ya CCM ni za uzushi.Wanajukwaa,mwenye taarifa kama Adv.Mwale wa Arusha kama naye ni miongoni mwa waliosamehewa jana.Huwa nikiangalia mazingira ya kesi yake na maamuzi ya mahakama naonaga kama kuna mkono wa mtu.
Naomba mwenye taarifa pls atupe updates.
Hebu nipe briefing kidogo..ni nani na ana kesi gani?!Bado hajahukumiwa, yupo mahabusu.
Ni wakili wa kujitegemea hapa townHebu nipe briefing kidogo..ni nani na ana kesi gani?!
Alikua ana issue gani? Arusha alikua law firm gani? niko Chuga kwa kipindi kdg sijapata msikia..Ni wakili wa kujitegemea hapa town
Kesi ya kutakatisha fedha, mengine google mkuu naelekea church.Alikua ana issue gani? Arusha alikua law firm gani? niko Chuga kwa kipindi kdg sijapata msikia..
advocate Mswale alishikwa kwa kosa la kutakatisha pesa......kilichomcost ni kuishi maisha ya kifahari sana magari ya kifahari ferrari escalade kwenye gari anatembea na milion 20 ya kulia bata akaunt ikakutwa na zaidi ya bilioni 5 haieleweki ameipataje kuna mwanamke mmoja anafanya kazi KIA alikuwa hawara wake wakakorofishana akamchomaHebu nipe briefing kidogo..ni nani na ana kesi gani?!
Aisee!! ni mwaka gani ametiwa nguvuni? Mil.20 za bata..dadeq!advocate Mswale alishikwa kwa kosa la kutakatisha pesa......kilichomcost ni kuishi maisha ya kifahari sana magari ya kifahari ferrari escalade kwenye gari anatembea na milion 20 ya kulia bata akaunt ikakutwa na zaidi ya bilioni 5 haieleweki ameipataje kuna mwanamke mmoja anafanya kazi KIA alikuwa hawara wake wakakorofishana akamchoma
imeshapita miaka kama minne hivi nadhaniAisee!! ni mwaka gani ametiwa nguvuni? Mil.20 za bata..dadeq!
Shukrani sana..ngoja nitafute taarifa zake zaidi!imeshapita miaka kama minne hivi nadhani
Inakaribia miaka saba au naneimeshapita miaka kama minne hivi nadhani