Usingizi mgumu sana bila kustua kidogo

Usingizi mgumu sana bila kustua kidogo

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Yaan sijui nna matatizo gani.

Usingizi napata kwa taabu sana. Muda mwingine navusha usiku mzima bila kulala huku mwenzangu akikoroma kisawasawa.

Lakini nikipata safari ndogo mbili tatu baaasi. Nikidondoka dakika 10 nyingi nshaanza kusinzia.


Nini sababu ya kutopata usingizi mapema?

Nini tiba yake?

Alamsiki!
 
Pole mkuu, ni mugani sasa toka tatizo limekuanza...
 
Back
Top Bottom