Mnakumbuka tank la gesi lilipolipuka ubungo

edwayne

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
5,071
2,000
Wakazi WA dar WA Kitambo hiko mnakumbuka tank la gesi la songas pâle ubungo lilipolipuka Enzi hizo nipo primary(kabla ya 2004) nilikua naishi kigogo luhanga kwenye magheto toka mkoloni
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
54,647
2,000
Wakazi WA dar WA Kitambo hiko mnakumbuka tank la gesi la songas pâle ubungo lilipolipuka Enzi hizo nipo primary(kabla ya 2004) nilikua naishi kigogo luhanga kwenye magheto toka mkoloni
Tank halikulipuka, Ila lilikuwa likivuja. Kilichokuwa kikiwaka ni ule mtiririko uliokuwa ukivuja kutoka kwenye tank
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,320
2,000
Wakazi WA dar WA Kitambo hiko mnakumbuka tank la gesi la songas pâle ubungo lilipolipuka Enzi hizo nipo primary(kabla ya 2004) nilikua naishi kigogo luhanga kwenye magheto toka mkoloni

Wakati huo IGP alikuwa Mahita
RPC wa Dsm alikuwa Tibaigana
Waziri wa Nishati akiwa Daniel Yona
Kijana toka TPA ndo alinusuru Jiji letu kwa kujitosa kwny moto kuziba leakage
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom