TANROADS Tabora huo ndiyo uwajibikaji wa kweli

TANROADS Tabora huo ndiyo uwajibikaji wa kweli

alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
2,032
Reaction score
3,198
Juzi nilinuia kuwashtaki kwa mh Mbarawa hatimae jana mkandarasi angalau ameonyesha kuwajibika.

Nimetaarifiwa kuwa jana kuanzia mchana hadi usiku wa manane alianza kutengeneza kile kipande.Jambo jema sana!

Shime,wakati ujao si hadi msemwe ndiposa mfanye kazi!Tafadhari timizeni wajibu wenu bila shuruti na si hadi raia waanze kulalamika nanyi ndiyo mfanye.

Nawataka mhakikishe kero hiyo imetatuliwa kwa wakati na hatmaye shughuli za kawaida na zoeleki ktk eneo hilo zianze km hapo awali.

Kila lililo la heri!
 
Barabara ipi ilikuwa inahitaji marekenibisho?
 
Big up
Nilijua watakimbazana tu maana sio kwa maneno yale
Hao dawa yao ni hiyo tu tena nakuomba kila kwenye kero waumbue hivyo hivyo
Thank you again
 
yaani sisi waafrika ni vichwa vigumu sana...juzi jamaa kaleta uzi humu leo wameanza ukarabati ina maana angekausha na wao wangekausha
 
Back
Top Bottom