Gorofa nne kujengwa hospitali ya Kahama Mjini

MWAKATA KWETU

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
562
319
Hospitali ya mji wa kahama muda si mrefu utaanza ujenzi wa jengo lenye zaidi ya ghorofa moja ambalo litakuwa na Theatre,masijala,Bima,mochwari na mawodi ya wagonjwa.nikizungumza na mmoja wa madaktari mjini hapa wanasema tayari million miatano zimeshatolewa kwa ajili ya kuanza ujenzi huo.

Lengo ni kiupanua hospitai ili iweze kuhudumia wagonjwa vizuri pia hospitali hii imekuwa na changamoto nyingi sana ikiwa pamoja na ukosefu wa madawa kwasababu ya idadi kubwa ya wagonjwa baadhi yao wakitokea mikoa jirani kama vile wilaya ya nyang'wale,Bukombe,Mbogwe, mkoani geita.....


Pia hospitali hii inahudumia wagonjwa kutoka wilayani Kaliuwa mkoani Tabora na sehemu zingine kama mwakitoryo....wagonjwa hawa huwa wanakuja mjini hapa.Kwahiyo ili kukidhi mahitaji Raisi aliagiza ujenzi wa hospitali mpya itakoyo kuwa na hadhi ya rufaa.
 
Kama kasema Sizonje bajeti itakuwa imepitia kwa Doto tu.
Hongereni wana Kahama
 
Back
Top Bottom