Wakati taifa linasonga mbele kwa kauli ya [HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG], ninyi mnafungua milango saa mbili lakini huduma zinaanza saa nne. Kama ni chai mywege kwenu!
Tabia za kuwawakusanya wateja hadi saa nne kwa visingizio vya chai, kusoma magazeti au vikao mnatukera mno.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.