Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,822
- 140,854
Nilikuwa na mipango kadhaa katika mwaka 2017. Completion percentage ni reasonable and acceptable. Sijivunii sana mafanikio mengine kwa sababu sina tabia ya kujisikia
Lakini nashindwa kujizuia kujivunia mafanikio yangu ya kuisema CCM vibaya. Haya ni mafanikio makubwa kwangu. Ni fanikio linalonifanya nipumue baada ya kutema nyongo.
Haya ni mafanikio yanachombezwa na kutumbuizwa na vijana wa CCM kushindwa kujibu hoja zangu na wakuu wengine
Nipeni hongera kwa mafanikio haya