Huu ndio ujumbe wangu wa kufungia mwaka huu wa 2017,kama unabisha endelea kumfanya mjinga mpumbavu au mwone kama mtu asiyejitambua mtu ambae anakusababishia wewe uwe hivyo ulivyo anakuweka mjini...
Habarini wakuu.
Vifurushi vya internet vinatumaliza sana,makampuni hayaeleweki, kuna kama vifurushi hewa, vifurushi vya uongo.
Halotel wakikwambia una 1.5 GB usiwaamini kabisa, halisi zinakuwa...
kichwa cha habari kinajieleza,
Sadaka, wanazopata ni nyingi mno,
hamna makato yoyote,
nawasifu,kwa kuisaidia jamii,kujenga shule,n.k
lakini bado nilitegemea wafanye mengi kuisaidia jamii...
Baada ya kusomeshwa namba mwaka mzima bila kazi tumeitwa kwenye usaili, na usaili utafanyika hapo dsm kwenye maktaba kuu utumishi wa uma (PSRS)!
Kwanza natarajia kushukia ubungo, pili naomba...
Kwangu nimeishiwa units za luku na nimejaribu kununua kupitia Voda, Airtel bila mafanikio. Kuna tatizo gani?. Ndugu zangu wa Voda, Airtel toeni huduma iliyo na kiwango kwa wananchi.
Leo nimekua pale stand ya mabasi ya mikoani ubungo nimekua kuna upungufu mkubwa wa wapigadebe waliozoeleka kudakia watu na kujifanya wanatoa; Msaada wa watu kupata tiketi.
Pamoja na kuwa kwenye...
Salama wandugu ? hasa walimu! naomba kujuzwa kuhusu huyu kiongozi wetu shupavu CWT nasikia mwajiri wake alimtimua , inasemekana alitaka kuanzisha mgomo wa madai yetu ... Leo kwenye magroup ya...
Mapinduzi ya viwanda ni ndoto Bila mapinduzi ya kifikra.
Siasa Na Sera za kisiasa kamwe hazina matokeo mazuri sehemu ambayo fikra hazina utayari.
Serikali iache ulaghai, ituandae kifikra Na iwe...
Sitaandika sana lakini nasikitishwa na waandishi wetu wa habari kutokutoa habari za ukweli na za kupigania uhuru wa habari wa nchi zetu.
Vilevile waandishi wetu hawafanyi research kwenye mambo...
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umeanza ukarabati wa mabweni ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) yenye ufa.
Taarifa za kuwepo nyufa hizo zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii usiku wa Desemba...
Kama unataka kukuza imani yako ya kuamini , ongeza uwezo wa kumjua Mungu , soma maarifa ya Mungu .
Mtu anaamini kwa kujua Ikiwemo kusikia .... Sasa umekosa kuamini kwa sababu ya kukosa maarifa ya...
Kwa wale wanaotaka kusafiri kwenda moshi au arusha watafute means nyingine..nimetoka ubungo kukata tiketi ya tarehe 22 au 23 nimekosa kabisa..kila ofis utakayoingia bus zimejaa hadi tareh 26...
Dunia hii tunaishi katika effect yaani vyote tunavyoviona ni matokeo .
Ukiwa mjinga utaanza kudeal na Matokeo badala ya kuangalia sababu .
Mtu yeyote aliyezaliwa , amezaliwa kwa sababu ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.