Usafiri wa uber nitakapofika uwanja wa ndege Dar

Usafiri wa uber nitakapofika uwanja wa ndege Dar

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Naomba mnielemishe juu ya usafiri wa UBER mara nitakapotua uwanja wa JNIA Dar.
 
Uber uwanja wa ndege hawanusi, wanawaogopa tax drivers wanawafanyia fujo. Itakubidi utoke nje mpaka pale kwenye kituo cha mafuta ndio uite uber.
 
Naomba mnielemishe juu ya usafiri wa UBER mara nitakapotua uwanja wa JNIA Dar.
kila unapo fika uber itakupa ujumbe kuwa kuna gari zipo maeneo hapo na kukupa kiasi cha garama ambapo wewe utataka kwenda.
 
Kwani Kila gari lenye Sticker ya Uber likionekana Airport limekuja kuchukua abiria/lipo kwenye biashara?
Naomba kueleweshwa.
 
Please hayo magari hayana nembo. ila ukiwa na App ya Uber itakuonyesha Dereva na namba yake ya simu, aina ya gari na namba plate ya gari husika.

Kwa mantiki hiyo haujalazimishwa kuchagua, but endapo ukichagua itakuwa tiyari umejua Dereva ni yupi na gharama za pale uendako utaziona.
 
Back
Top Bottom