Hakuna mjinga wa milele!..

Hakuna mjinga wa milele!..

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,830
Huu ndio ujumbe wangu wa kufungia mwaka huu wa 2017,kama unabisha endelea kumfanya mjinga mpumbavu au mwone kama mtu asiyejitambua mtu ambae anakusababishia wewe uwe hivyo ulivyo anakuweka mjini halafu unamuona kama fala tu, Nakuapia ipo siku isiyokuwa na jina utamkumbuka na kushindwa hata kumwomba msamaha..Hili lipo sana kwenye jamii hasa kwa ile jinsia pendwa mnajisahau sana yanayowatokea wenzenu wanatia hadi huruma huku!
 
Usiseme jinsia pendwa. ungesema kwa wote KE na ME maana kwa ujumla wote huwa wanajisahau sana. utakuta mwanaume anamwacha mwanamke kwa vile kapata hela za kuwanunua wanawake wengine. Na kuna wanawake wanawaacha wanaume zao kwa vile hawana hela. wanaenda kwa vidosho.
Ni kuwaombea tuh
 
umenichekesha,anyways unajua kujitetea kweli!
 
Kama umemchoka mtu mpe kila kitu hakika atakuacha bila huruma. Ukitaka akae usimle kila kitu
 
Usiseme jinsia pendwa. ungesema kwa wote KE na ME maana kwa ujumla wote huwa wanajisahau sana. utakuta mwanaume anamwacha mwanamke kwa vile kapata hela za kuwanunua wanawake wengine. Na kuna wanawake wanawaacha wanaume zao kwa vile hawana hela. wanaenda kwa vidosho.
Ni kuwaombea tuh
You said it right
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom