lushalila
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 283
- 107
Leo nimekua pale stand ya mabasi ya mikoani ubungo nimekua kuna upungufu mkubwa wa wapigadebe waliozoeleka kudakia watu na kujifanya wanatoa; Msaada wa watu kupata tiketi.
Pamoja na kuwa kwenye msimu wa wasafiri wengi sijaona wapigadebe ambao walikua kero kubwa kwa abilia, Licha ya changamoto ndogondogo zilizobaki naweza sema uongozi umefanya jambo Zuri sana.