Misikiti na makanisa walipishwe kodi

Misikiti na makanisa walipishwe kodi

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
kichwa cha habari kinajieleza,

Sadaka, wanazopata ni nyingi mno,

hamna makato yoyote,

nawasifu,kwa kuisaidia jamii,kujenga shule,n.k

lakini bado nilitegemea wafanye mengi kuisaidia jamii,

yaani watu wanakula mpaka wanajisahau,

na wengine ukiwaona,hutaamini kama ni viongozi wa dini,

yaani wanafanana kabisaaaa na watu wa 'mataifa'😀😀,

wakianza kukatwa,wataheshimu hela ya watu.
 
We ujui nguvu ya kanisa hasa wale waliobeba hela kwenye viroba ! Ni kweli serikali inapigwa sana via MoU ila no body care
 
ungesemwa makanisa yatozwe kodii..

waislamu mtuachee,,ni sheikh gani anaeishi kwa anasa kwa kutegemea sadaqa za waumini?!!!... labda masheikh wa bakwata...ila hali ya wasomi wa kiislamu ni mbaya MNO!!!

wanaishi maisha ya kubangaiza sana,

ANASA ZINAFANYWA NA WACHUNGAJI NA MANABII,,,HAO NDO WATOZWE KODiii...

sheikh gani mshamuona na selfie kwny ndege,au anasukuma ndinga ya maana?!!!...waislamu jamn mtuache!

hali zetu ni ngumu mno jamn!
 
naomba nikiri,sijui mfumo wenu wa sadaka,ila kama mnatoa then na nyie mtozwe
 
ungesemwa makanisa yatozwe kodii..

waislamu mtuachee,,ni sheikh gani anaeishi kwa anasa kwa kutegemea sadaqa za waumini?!!!... labda masheikh wa bakwata...ila hali ya wasomi wa kiislamu ni mbaya MNO!!!

wanaishi maisha ya kubangaiza sana,

ANASA ZINAFANYWA NA WACHUNGAJI NA MANABII,,,HAO NDO WATOZWE KODiii...

sheikh gani mshamuona na selfie kwny ndege,au anasukuma ndinga ya maana?!!!...waislamu jamn mtuache!

hali zetu ni ngumu mno jamn!
Huu wivu sio wa nchi hii.
 
ila mkuu,just because hujawaona viongozi wako wa kiislamu hawajapiga selfie,doesnt mean hawa misuse sadaka unayotoa,,,

halafu mbona umesema hali ya waislamu ni mbaya mno? umetumia kigezo gani?
 
tunatoa sadaqa kama mnavyotoa nyie ila sasa misikiti mingi hali za uchumi ni mbayaa..yaan hatuna sadaqa za kufanya masheikh waishi maisha ya ki-anasa.
Ila pesa za kunywea bia na kula kitimoto zipo za kutosha tu.
 
tunatoa sadaqa kama mnavyotoa nyie ila sasa misikiti mingi hali za uchumi ni mbayaa..yaan hatuna sadaqa za kufanya masheikh waishi maisha ya ki-anasa.

mkuu,ni kweli kuna inequality???,waislamu tu ndio uchumi wao mbaya??mie hata sielewi mwenzio...
 
kichwa cha habari kinajieleza,

Sadaka, wanazopata ni nyingi mno,

hamna makato yoyote,

nawasifu,kwa kuisaidia jamii,kujenga shule,n.k

lakini bado nilitegemea wafanye mengi kuisaidia jamii,

yaani watu wanakula mpaka wanajisahau,

na wengine ukiwaona,hutaamini kama ni viongozi wa dini,

yaani wanafanana kabisaaaa na watu wa 'mataifa'😀😀,

wakianza kukatwa,wataheshimu hela ya watu.
Ukitoa huduma au ukiuza bidhaa utalipa kodi. Huduma za kiroho unazipimaje ili uweze kukadiria kodi?
 
Wakilipishwa ndo nchi itaendelea? Pisheni wengine kama nchi imewashinda
 
Ukitoa huduma au ukiuza bidhaa utalipa kodi. Huduma za kiroho unazipimaje ili uweze kukadiria kodi?

interesting question,kinini kinakufanya utoe sadaka at all??kama mtazamo wako ndio huo??sadaka tunatoa fungu la kumi na hao unaowatajirisha kila jumapili,wao wanatoa wapi fungu lao la kumi??mnh
 
kichwa cha habari kinajieleza,

Sadaka, wanazopata ni nyingi mno,

hamna makato yoyote,

nawasifu,kwa kuisaidia jamii,kujenga shule,n.k

lakini bado nilitegemea wafanye mengi kuisaidia jamii,

yaani watu wanakula mpaka wanajisahau,

na wengine ukiwaona,hutaamini kama ni viongozi wa dini,

yaani wanafanana kabisaaaa na watu wa 'mataifa'😀😀,

wakianza kukatwa,wataheshimu hela ya watu.

Naunga mkono hoja hasa KKKT na Misikiti ya Ponda, na lile Jimbo la yule Askofu kimbele mbele mwenye jina kama ugonjwa!
 
Back
Top Bottom