Nimeishiwa units za umeme, luku inasumbua

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Kwangu nimeishiwa units za luku na nimejaribu kununua kupitia Voda, Airtel bila mafanikio. Kuna tatizo gani?. Ndugu zangu wa Voda, Airtel toeni huduma iliyo na kiwango kwa wananchi.
 
Mimi pia ninatatizo kama lako. Nimejaribu pia kupitia kwa mawakala wa maxmalipo imeshindikana. Kwa maelezo ya hapa na pale, inaonekana tatizo lipo kwa mfumo wa luku wenyewe.
 
Tanesco mbn mpo kimyaaa umeme LUKU haitoki arusha toka jana twambieni tutumie njia gani maana kazi zimesimama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom