Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sijaamini kabisa the humble gentleman jaji Synde anakashfa! Hata Kama tetesi niliposoma tu humu JF nilizimia nakupooza mwili mzima baadaye Leo nikazinduka. Ila ikitokea sasa Tena kwa huyu jamaa...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Wanabodi poleni na majukumu ya kila siku leo tunakutana kwenye mapumziko ya mwisho wa mwaka tukikumbuka matukio ya mwaka 2017 ambayo mengi yaliacha simanzi kubwa sana lakini tumsukuru Mungu kwa...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii ilielezwa na Waziri husika Prof Makame Mbarawa kuwa serikali itailipa Airtel sh bil 14.9 ili kuchukua hisa zake 35% abazo Airtel ilikuwa inashikilia. Hivyo TTCL itakuwa ni shirika la serikali...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Innocent Munyuku amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa usingizini nyumbani kwake Kimara jijini Dar es Salaam. ======================= TANZIA: MWANAHABARI INNOCENT MANYUKU AFARIKI DUNIA...
1 Reactions
30 Replies
7K Views
Hivi kwa nini simu nyingi hapa Tanzania hazina voicemail? Mtu unapiga simu inaita weeee halafu unaambiwa uliyempigia hapatikani lakini hupewi fursa ya kuacha ujumbe wa sauti!! Tatizo ni nini...
3 Reactions
24 Replies
15K Views
Mi ni hayo tu kwa leo. Niwatakie sikukuu njema
3 Reactions
9 Replies
953 Views
Kuna mahubiri kutoka Kanisa la The Pool of Siloam church na somo ni Kati ya Baba na Mwana nani aabudiwe (wameweka mstari Yohana 4: 23-24 ) ...hivi nisaidieni hawa ni Wakristo? Fatilieni wenyewe...
10 Reactions
143 Replies
18K Views
To all members!!! Naomba kutoa shukrani zangu za dhati kwa kila Mmoja ndani ya jukwaa hili, Kila Mmoja kwa namna yake amechangia kwa kiasi kikubwa cha kuongeza maarifa na fursa katika Maisha...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Sitaenda Kanisani kuonyesha kupinga Ukimya wa "viongozi wa dini" kushindwa kukemea maovu ya awamu hii. Maadamu wajinga wa dini bado wanajazana kwenye majumba ya Ibada, sadaka zinatolewa, usalama...
7 Reactions
56 Replies
4K Views
Mtu anayeshukiwa kuwa muuza madawa ya kulevya alijipa krismasi asiyoitaka wakati aliingia kwenye teksi akiwa na karibu misokoto 1000 ya bangi na kugundua kuwa alikuwa ameingi kwenye gari la polisi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Sehemu nyingi nchini wameweka hii mistari ya “Simama” (Stop lines) kwenye kila vivuko vya watembea kwa miguu. Japokuwa lengo ni zuri, pengine wahusika hawajafikiria vizuri hasara, usumbufu na...
4 Reactions
34 Replies
9K Views
WADAU NAOMBA KWA HESHIMA KUBWA SANA KUWASILISHA SALAAM ZANGU ZA BARAKA KWA WANA JF WOTE WAKATI TUKISHEREHEKEA KUZALIWA JWA MWOKOZI WETU BWANA YESU KRISTO. NISEME UKWELI KUWA NINA FURAHA YA AJABU...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ukitembelea mkoa wa Iringa unakutana na visa vingi vya watu wa jamii ya Wahehe kuwa na hasira na kujinyonga kwa haraka.Hata humu makazini unaweza kukutana na mtu wa Uheheni akawa mpole lakini ni...
1 Reactions
21 Replies
20K Views
Nimatumaini yangu nyote mu wazima. Napenda tutumia muda huu kuwatakia sikukuu njema na yenye baraka tele. Hakika ni jambo jema hasa ukizingatia kipindi hiki kigumu cha uongozi wa zarau, kiburi na...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Kutokana na mitambo kutofanya kazi, shirika la usafirishaji Udart limeruhusu abiria kusafiri bure. Udart mmeonyesha ukomavu, sio habari za KQ vituoni hadi mitambo ikae sawa.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
547 Views
Kanisa Anglikana dayosisi ya Dsm leo limefanya uchaguzi wa Askofu wake na kufanikiwa kumchagua Padre Sosthenes kuwa Askofu mpya anayechukua nafasi ya Dr Mokiwa aliyetumbuliwa. Source mimi mwenyewe...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Kamanda Bukombe amesema Fadhili alikodiwa na abiria juzi usiku waliotaka kupelekwa kijiji cha Pande na baada ya hapo hakuonekana tena. Tanga. Matukio ya utekaji na uporaji katika jiji la...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Wadau, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh Ummy Mwalimu anesema Watoto 10,000 huzaliwa wakiwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi kila mwaka nchini. Mh Ummy Mwalimu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Vyuma vinaendelea kubana na mpaka sasa baadhi ya waheshimiwa wameamua kusherehekea nje ya nchi,
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…