Serikali kumiliki tena TTCL kwa asilimia 100 mwezi huu

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
739
484
4347-MAKAME2016.JPG

Hii ilielezwa na Waziri husika Prof Makame Mbarawa kuwa serikali itailipa Airtel sh bil 14.9 ili kuchukua hisa zake 35% abazo Airtel ilikuwa inashikilia. Hivyo TTCL itakuwa ni shirika la serikali kwa asilimia 100%.

Kwa sasa hivi Serikali ina hisa TTCL 65% na Airtel 35%

Mwezi huu serikali itachukua hisa zake zote toka Airtel, alisema waziri huyo; Kwa kufanya hivyo kutaiwezesha TTCL kuendelea mbele alisisitiza Mwenyekiti wa bodi wa TTCL, Prof Mbwette.
---------------------------------------------------------------------------------------

Govt to pay Airtel for TTCL shares this month

This was revealed here yesterday by the Minister of Works, Transport and Communications, Prof Makame Mbarawa, when he toured TTCL facilities in the region including the national ICT broadband backbone network.

“We have held lengthy discussions with the management of Bharti Airtel after which we agreed that the government will pay the company a total of 14.9bn/- to reclaim the 35 per cent stake.

The repossession will give the state full ownership of TTCL,” the minister explained. At present, the government is the majority shareholder with 65 per cent stake while the Indian firm has the remaining 35 per cent shares.

During a partial privatization of TTCL in 2001, the government sold the shares to the then Celtel International which was later acquired by Qatar’s Zain which was later on acquired by India’s Bharti Airtel.

“The partnership between the government and Bharti Airtel will come to an end this month as it has been longed by Tanzanians and other stakeholders,” the minister affirmed.

“We will use funds from the optic fibre network to conclude the repossession. I now task the board, management and employees of TTCL to work hard and improve efficiency.”

The TTCL’s Board Chairman, Prof Tolly Mbwette, said the repossession of the shares is a crucial move towards strengthening of the company. “We will now be able to implement our business plan that seeks to transform the company in a smooth manner,” Prof Mbwette stated.

For his part, the Chief Executive Officer (CEO) of TTCL, Dr Kamugisha Kazaura, said efforts will now be directed at improving services using funds from internal revenues and loans from business partners.

“We want TTCL to uphold its position as provider of quality and affordable services in the communication market,” Dr Kazaura remarked. Just recently the company launched Fourth Generation Long Term Evolution (4G LTE) network to provide speedy internet connection to its customers.

TTCL has as well entered into an agreement with the TIB Development Bank in which the financial institution will provide a credit of 329 million US dollars to enable the former acquire modern equipment to improve services.

SOURCE: DAILY NEWS(January 20, 2015)
 
SOURCE: DAILY NEWS

Big Up Waziri Mbarawa! Pole pole tunaanza kuirudisha nchi yetu kwetu, haya matakataka yalituuza na kutuibia sana!

Kila la Heri Raisi Magufuli, Kila la Heri Waziri Mbarawa!
 
Uvumi kuwa mwekezaji wa kwanza ttcl alishirikiana na wajanja kutumia mtaji uliotolewa na serikali kuanzisha kampuni yao binafsi ya simu za mkononi uliishia wapi?
 
Ni vema tukaelezwa kwa kinaga ubaga perfomance ya TTCL kabla ya kuisifia hii hatua, kama linajiendesha kibiashara na kutengeneza faida basi hii ni habari ya neema kwa Nchi yetu. Ila kama linadorora basi nadhani ni faida zaidi kwa hao wahindi wanaookoa pesa zao..

kwa mtazamo wangu finyu shirika la uma kuingia ubia na shirika kubwa la nje inapaswa kuwa ndio mbinu ya kusonga mbele kwa kuwa hao wageni zaidi ya mtaji wao wanatarajiwa kuleta teknolojia, na mbinu za kimenejimenti zinazoongeza tija..

Sikusudii kutoka nje ya mada ila najiuliza tu kwamba Je, hisa za serikali yetu huko Airtel Tz ni ngapi? Na vipi kuhusu zile za Tigo?
 
Nimewahi kuzungumza na CEO wa TTCL, anasema Kampuni ipo nchi nzima, ina wafanyakazi zaidi ya 1500 na haipewi ruzuku na Serikali. Huu ni mchango mkubwa kwa Taifa, ajira kwa Wananchi na huduma katika maeneo yote, wanafika hata kunakoonekana kuwa hakuna faida za kibiashara. Nilishangaa kujua kuwa TTCL ndio inayowezesha Makampuni mengine ya simu, mabenki na Ofisi nyeti za Serikali kufanya kazi zake kwa kuwauzia Data na kuwahakikishia huduma za mawasiliano muda wote. TCU, Tamisemi na Hospitali za Rufaa nao wanahudumiwa na TTCL.
Kama haya ni ya kweli, hili ni shirika lenye watu Wazalendo kupindukia. Kwa figisu wanazopitia na bado wanajiendesha, sikutegemea kusikia haya.
 
Duh leo tunaambiwa na TTCL kuwa wanaimiliki airtel 100% na ushahidi wanao hivi ina maana wakati Mbarawa anayasema haya alikua hajui haya...... Basi tuna safari ndefu kma taifa kufikia uchumi wa kati
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom