Nimeshangazwa sana na ulinzi ambao kiongozi wa kanisa la Efatha Ministry alivyokuwa na ulinzi wa kutisha. Amekuja hapa songea kwenye msiba wa dadake na walinzi lukuki wenye miwani nyeusi kama wale...
Hello JF,
leo nimewaza,
hivi wakuu wetu wa mikoa wameelimika kwenye course gani?
ningependa kujua watu hawa huwa wanaangaliwa kwa vigezo vipi?
Mie nadhani watendaji wa halimashauri na wakuu wa...
Habari wana jamii mm ni mkazi wa dsm ila ni mwenyeji wa mwanza naulizia ni kampuni gani ya bus ina hadhi ya juu inayo fanya safari zake dsm to mwanza na nauli zao ni ngap?
Sent using Jamii Forums...
Matukio 10, niliyoyafanya 2017 yakaleta athari (impact 2017) katika jamii yangu
1.Ni juu ya madawa ya kulevya siku ,nakumbuka tarehe 4 na tare 5 mwezi wa kwanza nilitenga siku hizi 2,kufanya...
Je, ni halali kutoa fedha kwa ajili ya huduma uliyopewa katika ofisi za umma?
Kuna baadhi ya ofisi(Taasisi) zinatoza fedha kwanza ndiyo ziweze kukuhudumia, hasa pale panapohusu kusainiwa nyaraka...
Hodi jamvini kwa kweli lazima niseme ukweli sauti ya mtangazaji Da Zuu wa cloud radio.
Naipenda sana anapo tangaza natamani aendelee kwa wale mlio karibu naye mfikishieni salam zangu.
Toa hisia...
Wakuu,
Nipo katika foleni kubwa mno karibu na Daraja la Kibamba. Nimeambiwa kuwa kuna ajali mbaya ya magari mawili yaliyogongana. Yasemekana kuna waliopoteza maisha na majeruhi.
More to come...
Habari zenu wakuu..
Ni miaka mingi sana tangu nifahamu hii dhana ya u_staff katika vyombo vyetu vya mjumuiko kwa bara,
Sasa nimepata shavu la kutembelea upande wa pili wa wenzetu visiwani, hali...
Umeona yaliyotea huko Zimbabwe yakawa na ushabiki mwingi wa kisiasa na wengi waliyatolea mfano mageuzi yaliyofanyika huko na kushabikia baadhiyao hata sisi walipendezewa na kuona kama mfano...
Wadau
Wafalme wafuatao waliuawa wakati wa zoezi la kugawa urithi WA ardhi kwa Watoto wa Yakobo kwa mujibu wa hadidu za rejea zilizotolewa na Yehova mwenyewe.
Wafalme hawa walikuwa na nguvu kubwa...
Meya Wa jiji la Arusha,Kalist Lazaro anatarajia kumkaribisha Mkuu Wa mkoa Wa Arusha Mrisho Gambo katika uzinduzi Wa hospital mpya ya wilaya inayojengwa katika eneo la Njiro,nje kidogo ya jiji la...
Inasikitisha sana kama watendeji wa serikali tena walipewa dhamana na kuaminiwa katika kusimamia sheria za nchi wanajihusisha na mambo ya rushwa ya wazi.
Leo kuna kijana anaeitwa Adriano Mapunda...
Wavuvi zaidi ya 300 na wauzaji samaki katika eneo la Malindi nchini Kenya, wamesitisha biashara zao kulalamikia kunyanyaswa kwa wavuvi wa kigeni wanaotoka kisiwani Pemba nchini Tanzania ambao...
Kwa mwenye kuelewa maana ya hii nembo ni mpya pale maeneo ya chuo kikuu Dar es Salaam (UDSM).
Binafsi naishia kuishangaa tu yan bila kuielewa ingawa natamani sana kuielewa
Jeshi la Polisi limemefanikiwa kuwakamata watu watatu wanaojihusisha na njama za wizi wa pikipiki hapa Dar es salaam wakiwamo mabinti wawili wa miaka 19.
Mabinti hao wanatumiwa kama chambo...
Kama mahakama zetu ni huru kweli, kwa kinachoendelea hapa kwetu na vyombo vya kusimamia sheria na utekelezaji wake, Serikali haipashwi kushinda kesi hata moja. It is totally a lawless business on...
Wakuu poleni na mihangaiko,
Kuna jamaa zangu kadhaa mwaka huu wamelima zao la fiwi huko maeneo ya upareni, kama kilimo cha biashara. Zao hili ni moja ya mazao ya biashara yanayolimwa maeneo hayo...
Imekuwa kawaida sana kwa mashirika ya jamii kutuhumiwa kwa kutokutimiza wajibu wao ipasavyo. Mashirika hayo yametuhumiwa mara nyingi kwa kuwa na usiri usio wa lazima, ikiwa ni pamoja na...
Wadau,
Hii ni habari mbaya ya kusikitisha
Mwalimu Samweli Mariba Daniel (29) amekamatwa na kufikishwa katika Mahakama ya Wilaya Tarime kwa tuhuma za kubaka wanafunzi wake 9 wenye umri chini ya...
Wangwana,
Nina wasiwasi kwamba, kasi ya idadi ya watu, ni sawa na kuchotea maji kwenye tenga. Sina uhakika kama wachumi waliomo kwenye mfumo wa utawala wanaliona hili. Na kama wanaliona, sina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.