Salamu zangu Kwa wana jf wote

Salamu zangu Kwa wana jf wote

kisikiji

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2015
Posts
2,530
Reaction score
2,495
Nimatumaini yangu nyote mu wazima.
Napenda tutumia muda huu kuwatakia sikukuu njema na yenye baraka tele. Hakika ni jambo jema hasa ukizingatia kipindi hiki kigumu cha uongozi wa zarau, kiburi na visasi tunachopitia hadi watanzania tumefikia hatua ya kuchukiana.
Hayo yote ni mapito tu wacha niwafariji japo Kwa salamu za sikukuu njema.
 
Back
Top Bottom