Kwa kila Mwana JF popote alipo

Kwa kila Mwana JF popote alipo

Kinga kingdom

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
769
Reaction score
847
To all members!!!

Naomba kutoa shukrani zangu za dhati kwa kila Mmoja ndani ya jukwaa hili, Kila Mmoja kwa namna yake amechangia kwa kiasi kikubwa cha kuongeza maarifa na fursa katika Maisha yangu..

Thanks kwa uongozi wa JF,Mungu awabariki...

Tulianza Mwaka na Sasa tunamaliza Mwaka,pamoja na Tofauti zetu za Mawazo bado tumedumu kuwa pamoja...

Asante saaana kwa michango yenu hakika yamejenga Maisha yangu...

Nakutakia msimu mwema wa Krismas na Mwaka mpya!!! Nakuombea Mungu akupe Mwaka wa 2018 kuwa wa baraka na mafanikio....

Kinga kingdom
[HASHTAG]#jifunze[/HASHTAG] kusamehe#usikate tamaa#

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
.jpg
 
Back
Top Bottom