Voicemail kwenye simu za Tanzania

Voicemail kwenye simu za Tanzania

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,965
Reaction score
142,255
Hivi kwa nini simu nyingi hapa Tanzania hazina voicemail?

Mtu unapiga simu inaita weeee halafu unaambiwa uliyempigia hapatikani lakini hupewi fursa ya kuacha ujumbe wa sauti!!

Tatizo ni nini hasa? Ni teknolojia kubwa sana ambayo haijafika Tanzania au ni kitu cha gharama sana au ni nini hasa?

For some of us who are so used to leaving voicemails the absence of it is so frustrating!!!

Anybody know what the deal is with it in TZ??
 
Hivi kwa nini simu nyingi hapa Tanzania hazina voicemail?

Mtu unapiga simu inaita weeee halafu unaambiwa uliyempigia hapatikani lakini hupewi fursa ya kuacha ujumbe wa sauti!!

Tatizo ni nini hasa? Ni teknolojia kubwa sana ambayo haijafika Tanzania au ni kitu cha gharama sana au ni nini hasa?

For some of us who are so used to leaving voicemails the absence of it so frustrating!!!

Anybody know what the deal is with it in TZ??
Boss kumbuka hii ni Dunia ya Tatu, huwa tunapokea makapi toka Dunia ya Kwanza na ya Pili hivyo hio huduma nadhani itaanza mwaka 2020. Kuwa mpole tu kama sie Wadanganyika
 
naomba nieleweshwe simu ndiyo zina voice mail au ni Mitandao husika?
 
Boss kumbuka hii ni Dunia ya Tatu, huwa tunapokea makapi toka Dunia ya Kwanza na ya Pili hivyo hio huduma nadhani itaanza mwaka 2020. Kuwa mpole tu kama sie Wadanganyika
Huduma ipo. Airtel tigo voda [sijui mitandao mingine] nimeitumia ila miezi saba karibia imepita.
 
Airtel wanayo hiyo huduma? Wanayo wapi?
Jaribu ku dial ##002# kwa line yako wasipokuandikia all assured basi waone ofisini kwao.

Nimeitumia na Tigo saana tena zipo auto sema watu hawatumii.
 
Jaribu ku dial ##002# kwa line yako wasipokuandikia all asured basi waone ofisini kwao.

Nimeitumia na Tigo saana tena zipo auto sema watu hawatumii.

Nimejaribu na yanakuja madudu yasiyoeleweka!
 
Tigo ni uhakika tena ukipiga simu isipopokelewa muda mrefu wanakuambia kabisa uache ujumbe wa sauti. Hata km simu haipatikani,itakuambia mteja unayempigia hapatikani kwa sasa,Tafadhali mwachie ujumbe wa sauti baada ya sauti na gharama za kawaida za kupiga simu utatozwa! Ngoja nijaribu kuirecord nitaipandisha hapa hiyo sauti!!
 
Airtel wenyewe
59ea926a63fa7dfd86c2723f2f69a3de.jpg
 
Sony Xperia m2 aqua na M5 Dual unaweza kuseti mtu awe anaacha ujumbe wa sauti
 
sms ndio mwendo nchini hapa.. kama mtu hapokei. Free kwa bando nyingi kutuma.. voicemail lazima hawaitangazi au inachaji. Vodacom kutaka kujua tu balance ya Mpesa wanachaji 50 shs.. itakuwa voicemail.. ila najua walionazo.. nimo pia Tigo hukooo..
 
Mkuu umeenda kula vumbi Kidogo msimu wa siku kuu sio
 
Back
Top Bottom