Wenzetu akiambia bure lazima ahoji, cc meno nje kama wewe mkuu.nani asiye penda cha bure
KQ Kenya Airways?Kutokana na mitambo kutofanya kazi, shirika la usafirishaji Udart limeruhusu abiria kusafiri bure.
Udart mmeonyesha ukomavu, sio habari za KQ vituoni hadi mitambo ikae sawa.
Watanzania tunapenda vya bure kuliko kitu chochote.
Kabisa mkuundo mana tunaokotaga vichwa vya treni na magar bandarin