Ngo'mbe 119 waliokamatwa wakichungwa ndani ya pori la akiba Maswa kinyume cha sheria, wameuzwa kwa amri ya Mahakama ya Mkoa wa Simiyu.
Akizungumza na ITV kabla ya kuanza kwa mnada huo uliofanyika...
King'amuzi changu na 01819382948 hadi sasa kimebakiza TBC1 pekee ndiyo iko hewani!Sinaga hoby na Chanel zingine zaidi ya local Chanel kama ITV, star TV,Chanel ten na TBC baasi!
Wadau naombeni...
Msaada tafadhari kwa yeyote mwenye kufahamu, siku tatu hizi nimekuwa nikijaribu kutuma pesa toka tigo kwenda mpesa lakini process inakataa kuwa namba ya voda si sahihi wakati namba ni sahihi na...
Ujumbe wa krismas kwenu tuache kuuwa vizee kwa madai ya kuwa ni vichawi. Tuwape matunzo mema kama wenzetu wa Ulaya. Yaani mpaka raha. Wazee wana nyumba zao kama zionekanavyo pichani. Hapo hupati...
Habari wakuu,kuna mashairi fulani ya reggae music yanizungumzia jamii na kuifananisha na BORLA BIRD,kwa anayemfahamu huyu ndege naomba anipe mwanga kidogo pamoja na sifa za huyu ndege
Heshima kwenu wakuu.
Kwa Wale ndugu zetu wakristo Amani iwe kwenu na heri ya sikukuu ya Christmas mnapoadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo ulimwenguni kote.
Niingie kwa Mada moja kwa moja kuwa...
Sijaamini kabisa the humble gentleman jaji Synde anakashfa! Hata Kama tetesi niliposoma tu humu JF nilizimia nakupooza mwili mzima baadaye Leo nikazinduka.
Ila ikitokea sasa Tena kwa huyu jamaa...
Wanabodi poleni na majukumu ya kila siku leo tunakutana kwenye mapumziko ya mwisho wa mwaka tukikumbuka matukio ya mwaka 2017 ambayo mengi yaliacha simanzi kubwa sana lakini tumsukuru Mungu kwa...
Hii ilielezwa na Waziri husika Prof Makame Mbarawa kuwa serikali itailipa Airtel sh bil 14.9 ili kuchukua hisa zake 35% abazo Airtel ilikuwa inashikilia. Hivyo TTCL itakuwa ni shirika la serikali...
Innocent Munyuku amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa usingizini nyumbani kwake Kimara jijini Dar es Salaam.
=======================
TANZIA: MWANAHABARI INNOCENT MANYUKU AFARIKI DUNIA...
Hivi kwa nini simu nyingi hapa Tanzania hazina voicemail?
Mtu unapiga simu inaita weeee halafu unaambiwa uliyempigia hapatikani lakini hupewi fursa ya kuacha ujumbe wa sauti!!
Tatizo ni nini...
Kuna mahubiri kutoka Kanisa la The Pool of Siloam church na somo ni Kati ya Baba na Mwana nani aabudiwe (wameweka mstari Yohana 4: 23-24 ) ...hivi nisaidieni hawa ni Wakristo? Fatilieni wenyewe...
To all members!!!
Naomba kutoa shukrani zangu za dhati kwa kila Mmoja ndani ya jukwaa hili, Kila Mmoja kwa namna yake amechangia kwa kiasi kikubwa cha kuongeza maarifa na fursa katika Maisha...
Sitaenda Kanisani kuonyesha kupinga Ukimya wa "viongozi wa dini" kushindwa kukemea maovu ya awamu hii.
Maadamu wajinga wa dini bado wanajazana kwenye majumba ya Ibada, sadaka zinatolewa, usalama...