miami0101
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,336
- 1,276
TCRA waangalieni hawa watu, wanatusumbua sana na mameseji yao nmefuta had nmechoka, ikitoka hyo inakuja ya BIKO, mara SPORTPESA
waambieni sio kila mtu anabeti waache usumbufu
Nawahi kusoma meseji nkijua ni yule mtoto mkali kanijibu kumbe ni nyie
Kumbafu kabisaaa!!!
waambieni sio kila mtu anabeti waache usumbufu
Nawahi kusoma meseji nkijua ni yule mtoto mkali kanijibu kumbe ni nyie
Kumbafu kabisaaa!!!