Clouds TV kuweni makini na CCM

Clouds TV kuweni makini na CCM

Swelana

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2016
Posts
432
Reaction score
1,280
Kwenu Clouds,

Naona mmenogowa na pesa za CCM lakini kuweni makini zitawaponza muda sio mrefu.

Kwa sasa ni wananchi wachache wanaoipenda CCM, hilo linajulikana. Sasa muda sio mrefu mtaanza kususiwa na wananchi kama ilivyofanyika kwa TBC.

Sikio la kufa huwa halisikii dawa, naona leo mpo Longido mnafanya kujipendekeza.

Wito wangu ni kwa wananchi mnaoumia kwa sababu ya CCM ni vema mkaanza kuona hivi vituo vya radio na TV vyenye mlengo wa kuwasaidia wanyonyaji CCM ili tuwe na umoja na kuvisusia kuvifuatilia.

Watu ni wachache hata 100 hawafiki ila wanaendelea kusombwa na magari kutoka sehemu mbali mbali fuatiliane mtaona.

Nawasilisha.
 
Siku hizi vyombo vyote vya habari vinaisujudia ccm
 
Niliweka hapa uzi wangu kuhusu hao Cloud lkn moderator wakauondoa nafikiri ata huu watautoa lkn siku zote ukweli upanda ngazi.
 
Kwenu Clouds,

Naona mmenogowa na pesa za CCM lakini kuweni makini zitawaponza muda sio mrefu.

Kwa sasa ni wananchi wachache wanaoipenda CCM, hilo linajulikana. Sasa muda sio mrefu mtaanza kususiwa na wananchi kama ilivyofanyika kwa TBC.

Sikio la kufa huwa halisikii dawa, naona leo mpo Longido mnafanya kujipendekeza.

Wito wangu ni kwa wananchi mnaoumia kwa sababu ya CCM ni vema mkaanza kuona hivi vituo vya radio na TV vyenye mlengo wa kuwasaidia wanyonyaji CCM ili tuwe na umoja na kuvisusia kuvifuatilia.

Watu ni wachache hata 100 hawafiki ila wanaendelea kusombwa na magari kutoka sehemu mbali mbali fuatiliane mtaona.

Nawasilisha.
Njaa yao ni mbaya sana
 
Ww jamaa inaonekana una moyo mwepesi sana wa kuumia, nakushauri achana na siasa za kibongo hao clouds na media nyingine hawajapenda kufanya unacho kifikiria ww...

Wao wanaangalia maslai na kulinda media zao wasipigwe ban...
 
Clouds ni maccm kitambo sana. Mi hapa kwangu narufuku iwe TV au radio stations ya clouds except Choice Fm
 
Ww jamaa inaonekana una moyo mwepesi sana wa kuumia, nakushauri achana na siasa za kibongo hao clouds na media nyingine hawajapenda kufanya unacho kifikiria ww...

Wao wanaangalia maslai na kulinda media zao wasipigwe ban...
Hakuna Maslahi muhimu kushinda maslahi ya umma .
 
Hao sasa hivi sina habari nao hao ni watafuta maslahi hao tu yakiguswa unaona wanavyolia lia kutafuta community sympathies
 
Ww jamaa inaonekana una moyo mwepesi sana wa kuumia, nakushauri achana na siasa za kibongo hao clouds na media nyingine hawajapenda kufanya unacho kifikiria ww...

Wao wanaangalia maslai na kulinda media zao wasipigwe ban...
Wanapenda tamgu enzi za Jk
 
Back
Top Bottom