Mwaandishi mmoja wa habari alimuuliza dai mmoja wakijerumani Salah El dyn mahusiano yaliopo kati ya Uislamu na Ugaidi,
akamjibu:
Nani alieanza vita vikuu vya dunia vya mwanzo ? Waislamu ...
Mwenye mapenzi mema na nchi yetu tufanye hivyo. Kwa nia njema na si vinginevyo. Tunaheshimu na Tunatii mamlaka zilizopo kwa haki.
Wote, CCM, CDM, TLP, CUF etc mnakaribishwa.
Kwa jinsi anavoongea hassan ngoma kuhusu watumishi wa umma kurejesha fomu tume ya maadili kama mh Raisi alivyofanya unaona kabisa huyu mtu kama si yy basi ni mpango maalum walikokubaliana na...
wakuu.
kuna kitu hakipo sawa hasa kwa polisi yetu.
kamata kamata ya viongozi wa dini iangalieni vyema kwani kesho mkija kuwaomba waombee amani wakikataa msilaumu.
Mlianza na Gwajima na kesi zote...
ITV imemtunuku Paul Makonda kipindi maalum kuanzia saa tatu za usiku! Kweli?
Wenye hekima na busara wanafahamu kuwa, ukizishabikia siasa za Tanzania bila kuchanganya naza kwako unaweza kujikuta...
Ni swali rahisi sana, ila ndani yake limejaa maana pana sana ambayo ukiitafakari juu ya ulimwengu wa TEKNOHAMA, utapata majibu lukuki, hasa kwa kuzingatia mazingira uliyopo kwa sasa. Mimi ninayo...
Wasalaam Jf
Tukiwa tumebakiza siku chache kusema bye to 2017, nitoe shukrani zangu kwa wadau wote kwa mambo mengi niliyojifunza kupitia JF platforms.
Mmeongeza ujuzi kwa wengi, mmewasaidia...
Jamani eti Bundi kulia usiku mlio fulani hivi nini kinaashilia? Maana nimeambiwa eti ni mikosi, lakini kambi hapa ninapokaa kuna miti miti mingi sana na Bundi wapo wengi sana
Lakini usiku...
Kuna taarifa zimeenea kuanzia jana kwamba, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John P. Magufuli ametunukiwa tuzo ya amani na taasisi ya Nelson Mandela. Mbali na Rais Magufli wengine...
WAANDISHI wa habari wametakiwa kusimamia haki na ueledi na wasikubali kutumiwa na wafanyabiashara matapeli wanaokesha usiku na mchana kubuni mbinu za kuwalaghai wananchi.
Balenga alitoa kauli...
Viongozi wengi sana wa kisiasa hupenda kupongezwa tuu na wala Sio kukosolewa hasa wale viongozi dhaifu wasio jiamini. Na kama wakiwa na wasaidizi wasio na maono na utashi wa kumshauri basi...
Wakati zoezi la ubomoaji wa jengo la Ofisi za TANESCO makao makuu Ubungo kwa wakati ule wa kuhamisha mifumo ya Luku, kulikuwa na taarifa kwa wananchi kwamba huduma ya kununua umeme wa Luku...
Wadau
Leo tarehe 28/12/2017 kuanzia saa tatu usiku ITV watakuletea moja kwa moja kipindi maalumu cha tathmini ya kazi zinazofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Paulo Makonda...
Hii inaacha maswali wengi bila Majibu kwa sie wenye uelewa mdogo kuhusu nani alihusika tukio la kushambuliwa kwa Lisu. Naelewa vipanga walishafanya upembuzi na kujiridhisha kuhusu wakina nani...
Wadau
Leo tarehe 28 Desemba 2017 Mh Rais Dkt John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo kwa mara ya kwanza na Kamati Maalumu ya kuhakiki mali za Chama cha Mapinduzi Ikulu ya Dar es...
Hongereni kwa mapumziko ya msimu huu maalumu.
Niende kwenye topic direct.
My background ni kanda ya ziwa, tumezaliwa 11, me 8,na ke 3. Ndg zangu 3 wa kiume wametangulia mbele za haki. Tuna mzazi...
Wote wasiopendezwa na juhudi za Rai
Na wale wote wanaotaka kwa namna moja au nyingine turudi Katika zama zile ambao;
Wizi, Rushwa, ubadhirifu ulikua ni sehemu ya maisha ya mtumishi wa uma...
Moja kwa moja kwenye ombi, naomba kufahamishwa, nimenunua line ya TTCL (SIM card) mpya lakini haifanyi kazi na simu Samsung GT-E1207Y wala simu yoyote ya button, lakini line za makampuni menngine...
Habar wana Jf?
Mwaka 2017 ulianza kwa changamoto nyingi kiupande wangu lakini nikapiga moyo konde nikasema lazima mwaka huu nitoboe.
Mwaka huu ndio mwaka ambao sitokuja kuhusahau katika maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.