The Satanic Verses - The Book

The Satanic Verses - The Book

Dikteta Uchwara

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
204
Reaction score
285
Habari wadau. Mwenye soft copy ya Kitabu hiki cha Sir Salmin Rushdie naomba anisaidie inbox au hapa ukumbini. Ahsante
 
Atakaekipata jamani chondechonde atufanyie jamala/msaada wenye kuhitaji.Sambamba na hicho,pia kwa mwenye
1.Rasta and Resistance-from Marcus Garvey to Walter Rodney
2.Hadithi ya Allan Quarterman

AHSANTENI
 
upload_2017-12-27_17-53-10.png

Habari wadau. Mwenye soft copy ya Kitabu hiki cha Sir Salmin Rushdie naomba anisaidie inbox au hapa ukumbini. Ahsante
Salmin Rushdie
- Ana takriban vitabu 19
- Nitakuwekea soon hiki kitabu unachohitaji, nikifika kwenye PC
 
Attachments

Huyu jamaa angeshikwa siku moja nahisi angechunwa ngozi mzima afu apigwe risasi huku ananyongwa na kunyweshwa maji ya betri
 
Hiki kitabu watu wengi wanakifahamu kwasababu ya utata ulioletwa na kitabu hiki na Rushdie kutangaziwa Fatwa na Ayatollah ila wengi hawajakisoma na uwa wanadhani kitabu kizima kinaongelea kuhusu kukandia dini wakati hata siyo main story ni mistari michache tu inayoongelea hilo..
 
page number ngapi ndo yenye utata?
 
ila nikikubwa..afu ujinga mtupu humo ndani
 
Hiki kitabu watu wengi wanakifahamu kwasababu ya utata ulioletwa na kitabu hiki na Rushdie kutangaziwa Fatwa na Ayatollah ila wengi hawajakisoma na uwa wanadhani kitabu kizima kinaongelea kuhusu kukandia dini wakati hata siyo main story ni mistari michache tu inayoongelea hilo..
Kwa hio hata waliotoa FATWA hawakukisoma chote?
 
Hiki kitabu watu wengi wanakifahamu kwasababu ya utata ulioletwa na kitabu hiki na Rushdie kutangaziwa Fatwa na Ayatollah ila wengi hawajakisoma na uwa wanadhani kitabu kizima kinaongelea kuhusu kukandia dini wakati hata siyo main story ni mistari michache tu inayoongelea hilo..
It's a pity.

Mimi si mpenzi wa magical realism, genre ya Rushdie, ilaRushdie ni mmoja kati ya waandishi wanaojua kuichezea lugha ya Kiingerezampaka ukisoma anavyoandika utafurahi. He is a genuinely intelligent iconoclast.

Kuna siku walikuwa wanakandia habari za dini Bill Maher show, Maher being an atheiist and all, it was almost a boring chorus.

Mimi nikawa najisemeakimoyomoyo, surely they can't all be thinking alike, someone has to come with an alternate view to show a different side.

Surely enough, ikawa kama vile Rushdie kanisikia, akasema yeye anapenda Rastafarians wanavyoamini Mungu wao kivyao vyao tofauti na Ukristo mainstream, ni dini, wanaaminiMungu, lakini kiselasela tu.
 
page number ngapi ndo yenye utata?
Kitabu kinahusu wanaume wawili walioshika dini ya Kislam wakiwa wanachanganywa na maisha na tamaduni za kimagharibi.
Mmoja anafanikiwa kubaki katika mizizi ya dinj yake wakati mwingine anashindwa u magharibi unamchukua.
Sasa humo kwenye kitabu kuna character mlevi akiwa kalewa anamtukana mtume na kumwita vibaya jina lake. Hilo kosa la kwanza la Rushdie.
Kuna sehemu wanatusi wake zake mtume kosa la pili.
Kuna sehemu eti jamaa anawaza eti wakati mtume anashushiwa Quran na malaika uenda alilala na shetani akapata nafasi ya kumpa verse zake. Kosa la tatu.
Kuna sehemu anamlaumu Abraham kuhusu suala la watoto wake kosa la nne.
Pages sikumbuki ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom